Recent content by kindili kindili

  1. kindili kindili

    JamiiForums Tanzania Kama unaongea lugha ya kingereza vizuri bila kukwama nicheki tufanye kazi

    hahahahha hahha picha linaanza
  2. kindili kindili

    JamiiForums Tanzania Project Manager at VSO

    afu hili tangazo limerudiwa tena.
  3. kindili kindili

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kutoka Fair Competition Commission

    hy kipengele cha tatu, ni kwamba muombaji awe tayari ni mwajiriwa? kwenye FCC
  4. kindili kindili

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya kazi ya Ualimu na Uaskari wapi penye unafuu

    mimi pia mwalimu, nmepata bahat tangu nimeanza kazi nmekuwa international schools, sio English mediums, I mean international schools, huku mshahara ulikua mnono sana. Kwa sasa covid imetuweka benchi ila ndio uzembe wa kutegemea salary kwa kila kitu sasa nahangaika na maisha, as walivyosema hapo...
  5. kindili kindili

    JamiiForums Tanzania Mishahara Sekta Binafsi Corona (covid 19): Mwajiri analazimisha likizo bila malipo

    Hapa ndio napoona walakini! wazungu wamepona wanakula tu dola zao!
  6. kindili kindili

    JamiiForums Tanzania Mishahara Sekta Binafsi Corona (covid 19): Mwajiri analazimisha likizo bila malipo

    Naandika kwa niaba ya rafiki: Ninafanya kazi kwenye moja ya international schools Dar es Salaam. Agizo la waziri mkuu kwamba shule zifunge lilipotoka tulianza likizo na mwezi wa tatu tulilipwa, tulikua tukifundisha kutokea nyumbani. Sasa week iliopita mwajiri aliandika ujumbe kwa baadhi ya...
  7. kindili kindili

    JamiiForums Tanzania ANAYEFAHAMU COURSE YA BACHELOR OF EDUCATION INA DISTANCE LEARNING

    Jaribu open university degree zao nyingi ni distance.
  8. kindili kindili

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuja kusoma ulaya(Germany+France and some Scandinavian)

    Mtoa Uzi huu umetisha sana.. na mi nataka kuja Ujerumani intake ya spring.
  9. kindili kindili

    JamiiForums Tanzania Mjadala Maalum: Wanaosaka ajira nje ya Tanzania

    Uzi mzuri mliko ulaya tuambieni basi- wakati naanza mchakato wa kukimbia TZ natakiwa kuwa na angalau na bajet sh ngapi
  10. kindili kindili

    JamiiForums Tanzania Tunaohangaika kwenda nchi za watu kusaka maisha tukutane hapa!(Kusoma au kazi)

    Najua kabisa kama mimi watakuwepo wengi tu, tunaohangaika kwenda kujaribu life nje ya nchi. Katika pita pita zangu nmekutana na makampuni yanayosaidia kupata scholaship(Moja kati ya njia ya kwenda huko) kama zifuatazo: Bero Tanzania hawa wanakusaidia kupata scholaship China na bei zao sio mbaya...
  11. kindili kindili

    JamiiForums Tanzania Receptionist anahitajika

    Nishakuja inbox haureply bob, nilikua tayari kuja leo leo na niko tayar bado
  12. kindili kindili

    JamiiForums Tanzania Receptionist anahitajika

    nmeshakuja inbox- na natoka hapa ndugu yangu.
  13. kindili kindili

    JamiiForums Tanzania Jeshi letu linaonyesha umahiri wa kupigwa na tofali zama hizi!? Hawaoni wenzao huko duniani?

    majomando tangu wamalize kozi walichofanyia elimu yao ni kupasuliana matofali
  14. kindili kindili

    JamiiForums Tanzania Jeshi letu linaonyesha umahiri wa kupigwa na tofali zama hizi!? Hawaoni wenzao huko duniani?

    hahaha hahaha hahaha haha nenedni urusi mkawaonyeshe matofali ...hahahaha
  15. kindili kindili

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Nikisema haya naonekana Mkorofi

    huyu jamaa akome tu....
Back
Top Bottom