Recent content by kindigiwa

  1. K

    Kwanini ktk maisha ya ndoa watoto wakishafanikiwa humjali mama yao kuliko baba yao?

    Sababu ni kuwa ki asili wanaume ni WATU wa kutafuta muda wote haijalishi umri au kuwa na wa kuwategemea(watoto) na Wana wake wao ni wa kutafutiwa hivyo asili hii hufanya watoto waone kwamba mama anapaswa kuzingatiwa zaidi na baba anajiweza! Lakini watoto Wana paswa wakumbuke kuwa muosha naye...
  2. K

    RC Homera wa Mbeya amejiuzia gari la Serikali kinyemela?

    Huyu ni vita kawawa na dada yake zamarad kawawa,kifupi hii familia Ina haha baada ya kuona Wenye Namtumbo Yao Sasa wame amua kuikombi kutoka kwenye familia ya muasisi. Kama familia hii ungekuwa Ina sikia ushauri wange kaa mbali na Jimbo la Namtumbo wake elekeza nguvu zao kwenye biashra zao...
  3. K

    PreGE2025 Harakati za RC Juma Homera katika jimbo la Namtumbo, zinaharibu kazi nzuri inayofanywa na Rais Samia

    Namtumbo ya wapi unaizungumzia mbona sijasikia ujio wa huyo jamaa,umesimuliwa au umeona mwenyewe?
  4. K

    Naibu Spika: Kuna watumishi wa TASAF bado wanaingiza ndugu zao kwenye Malipo

    Kuwa na umri wa miaka 70 hakiwezi kuwa kigezo Cha umasikini! Kaya za wanufaika wa TASAF zilipatikana kwenye mikutano ya vijiji na Miata kwa wananchi kuwapitisha wenye sifa stahili!
  5. K

    Mradi wa golf Songea manispaa umekwama wapi?

    Habari Wana jamvi,mwaka 2021 halmashauri ya Manispaa ya Songea ilikwenda kata ya Subira iliyopo Manispaa ya Songea na kuhitaji ardhi zaidi ya ekari 300 kwa maelezo kuwa wana jenga mradi mkubwa wa mchezo wa golf. Mradi huo ungehusisha ujenzi wa five star hotels, shopping mall na vivutio vingine...
  6. K

    Kuna wageni ambao hawana ustaarabu mezani saa ya chakula

    Ni kweli nakumbuka wakati wetu sinia lina wekwa hapo limejaa wali harage lime mwagwa juu watu tuna lifinyaaa likiisha tunaulizana jamani mmeona?tunajibu bado ngoma linapigwa la pili tuna kulaa hapo anaanza mmoja mmoja kuinuka ujue watu wameona sasa!!
  7. K

    Nisamehe kama nakufuru, nahitaji kufahamishwa

    Na pia MUNGU habadili yaliyopo moyoni mwa mtu hadi mtu mwenyewe abadili yale yaliyomo moyoni mwake!!
  8. K

    Mama Samia anza kwa kuboresha Baraza la Mawaziri

    Huyo Ndumbaro wala hujakosea ni zwazwa kweli kweli ni wa kupiga chini kabisaa!!
  9. K

    Niliyekuuzia nyumba yenye mauzauza Bunju nisamehe, sikuwa na jinsi

    Ilitakiwa umuulize Mzee wako alicho kifanya, huwezi jua
  10. K

    Niliyekuuzia nyumba yenye mauzauza Bunju nisamehe, sikuwa na jinsi

    Huja kutana na vijimambo vya hii dunia ndugu[emoji23][emoji23]
  11. K

    Jogoo ashikiliwa polisi kwa kumuua mmiliki wake

    [emoji23][emoji23][emoji23] kweli kabisaa?
  12. K

    Bado sijaelewa walikusudia nini hawa wanawake

    Kuto elewa ndiyo kuelewa kwenyewe huko!!
  13. K

    Bado sijaelewa walikusudia nini hawa wanawake

    Alipiga hadi aka choka basi ikabidi aniache na mwandiko wangu ndiyo hadi leo na hangaika nao huku duniani huu mwandiko!!
  14. K

    Bado sijaelewa walikusudia nini hawa wanawake

    Ngono hainaga kidato ukisha baleghee kazi ime anza!
Back
Top Bottom