Hii ni kwa mara nyingine hoja hii inaibuka. Wahenga huwa na misemo mingi ya kujihakiki "mzaha mzaha........."
Ajabu kumekua na majaribia ya kubadilisha vifungu vya katiba .
Kwa maoni yangu yote haya hayasemwi kwa bahati mbaya . Upo msingi nyuma yake. Ni swala la muda tu tutayasikia yakiwa...
Kuna aina nying za upofu. Aina mbaya ya upofu ni ile inayojengwa kwa mapenzi.
Aina hii humwondolea mtu uwezo wa kuona ingawa macho halisi anayo. Na huenda mbali zaidi kwa kuilazimisha akili kufikiria kinyume na uhalisia wa jambo husika.
Mtu au taasisi au kikundi kilichopata aina hii ya upofu...
INA SIKITISHA.
Kama kweli Mh Mbowe kavamiwa kutakuwa na maswali mengi ya kujiuliza.
Na kila mmoja wetu anayo yake anayojiuliza. Si rahisi kuwa na majibu ya moja kwa moja ila tunatarajia kupata majibu sahihi na kwa wakati toka kwa wenye dhamana.
Katika hili nisingependa kuona propaganda za...
Kimsingi hapa yupo mtuhumu na mtuhumiwa kila mmoja anatakiwa afanye sehemu yake. Mfano alipotuhumiwa mtu kwa madawa ya kulevya mtuhumiwa aliripoti alipotakiwa na alijieleza na matokeo yake ingawa hayajatangazwa tunaweza kubuni nini yalikuwa matokeo. Hivyo haya kama hili linaathari kwetu...
Nimeona post nyingi kuhusu hili fb na hata humu jf. Sina hakika ni nini kimemsukuma mtoa post kupost alichokipost. Kwa mtazamo wa jicho la tatu kunavitu naviona kufichika nyuma yake , kuwa na dhana ya kufikiria na kubuni vitu ili kuhalalisha mtu anachofiki kuwa ni kweli, kuwa na aina Fulani ya...
Nakubaliana nao tu kama katika mageuzi yao yatakuwa yanalenga yafuatayo:-
1. Kama Chama kikongwe kumshauri m/kiti kukubali na kufuata katiba iliyopo kwa kuruhusu mikutano ya vyama vyote bila masharti yoyote
2. Kujikita katika kurejea ktk katiba ya wananchi kwa maana katiba ya pendekezwa ya...
Nishukuru kwakuwa mpaka sasa kama wamekosa watu wa kuwapeleka ktk mahakama hiyo. Ohooo nimekumbuka kabla haijaanzishwa nani wale walitajwa sana kuwa ndiyo mafisadi? Au hawaenei kwenye hiyo iliyoundwa sasa labda itaundwa nyingine?
Story yako ni nzuri ila kwangu imeingia dosari the way ulivyofanya kulipiza kisasi. Kuhusu kuamua kukaa pweke ni maamuzi ila katika maamuzi hayo usichanganye na tamaa ya kuchukuwa na kubadilisha wanawake. Inawezekana na nakuunga mkono wengine tunaenda mvua ya tano sasa. Faraja pekee imebakia watoto.
Niseme tu watu huwa wanabadilika badilika kama vinyonga kwa sababu tofauti tofauti huyo anayeridhishwa sasa na mwenendo wa nchi ni haki yake na anazo sababu za kutosha. Ila nachelea kusema wengine mazingira, woga au ukabila nk. Hulazimisha mtu kubadilisha mtazamo
Unapo jenga hoja simama pandemic zote na ujipime kama hoja unayojadili inamaslahi gani mapana kwa nchi yako.Ni vyema ukajiuliza ni kwaajili ya nani ? Kwa faida ya nani? Na gharama zitakuwa za nani? Tunapoiangalia mahakama tafsiri yake ni taasisi inayoshughulika na kutafsiri sheria na kutoa...
Aliyesema wapumbavu alikuwa na maana sana wapumbavu kwasababu 1:- Benki zilipouzwa kwa bei ya kutupa tulishangilia
2:- Waliporuhusu wawekezaji wakaletwa hata wanaouza Karanga zinazotoka Dodoma na kuchukua vipusa sisi tukiangali
2:- Waliowekeza ktk viwanda wanaleta wakwao hususani India na China...
Tusiwe watoto ktk hili tusi linabaki kuwa tusi na linauzito wa pekee pale linapotamkwa na mtu mwenye heshima kubwa ktk jamii.Mara nyingi watu wa aina ya Ben huwa wanaandaliwa hotuba hivyo si rahisi kukurupuka akiongea huwa wanamaanisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.