Jamani nimetanuka kifursa kidogo hivyo biashara ya m pesa siwezi tena kuisimamia kuna biashara nyjngine ambayo inahitaji muda wangu wote wa uangalizi!
Nauza line za kazi tatu! M pesa, tigo pesa na airtel money!
Check na mm 0752698636
Jamani huu mradi unaelekea kuisha! Basi tusiwe wenye kupost picha tu! Tuwe na wenye kupeana fursa za mradi huu . Mfano tenda za uuzaji wa tiketi za brt nk.
Mh! Kaka ku bet ni kubashiri na siyo kamali! Mbona hata shekh yahya alikua anatabiri inamaana shekh wetu na yy alikua anacheza kamali? Je ni maandiko gani yanayosema kubashiri, kubahatisha na kutabiri kitu ni haramu? Bado sijayaona mashaka ya kubeti na ubatili wake hakika ni haki kufanya ubashiri!
Habari wanajamii. Nina shida ya mashine ya ku bet ya premier. Nimefungua ofisi na miongoni mwa biashara tarajwa ni pamoja na ku bet. Nimeenda ofisini kwa premier betting ila wamesitisha kutoa machine mpaka ligi zianze .
Kwa ufanisi wa biashara yangu ninaihitaji machine kipindi hiki kabla ligi...
Sidhani kama usiporipoti mwaka huu ndo huna tena nafasi ya kufundisha maisha yote, mbona zamani ajira zilikua hazitoki moja kwa moja na watu walikua wanaomba ajira na wanapata .
Najua ninachilipwa kaka nina uhakika but sijasema nafanya kazi kwa mzungu! Nafanya kwa raia wa kigeni, nadhani hata mkenya ni raia wa kigeni lkn siyo mzungu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.