Recent content by kinavi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuamua aina ya gari unayotakiwa kuwa nayo

    Nahitaji Toyota Alphard 4WD,NAOMBA SPECIFICATION ZAKE,UBORA NA UDHAIFU WAKE
  2. K

    JamiiForums Tanzania Fahamu tabia za kuziepuka wakati unapokula

    Kuna wazazi wanaanzisha ugomvi na watoto wakati wa kula.Muda wote kakaa kimya.Ikifika saa ya chakula ndipo hukumbuka makosa ya watoto Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kilindi: Watu wanaosadikiwa kuwa majambazi waliokuwa na silaha, wameteka kijiji

    Maandamano huandaliwa, ujambazi huja bila maandalizi
  4. K

    JamiiForums Tanzania Marehemu jana wamepiga kura Zanzibar

    Toa ushahidi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hesabu zambeba Mollel Arusha Mjini

    Uchaguzi ni karata wengine wamechoma vichinjio vyao baada Lowassa kuukosa urais na wengine hawakupiga kura sasa watajitokeza je namba ni ileile?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hesabu zambeba Mollel Arusha Mjini

    Kuna wengi hawakupiga kura wakiamua kujitokeza na kuipigia CCM itakuwaje!?
Back
Top Bottom