Recent content by Kinambeu

  1. Kinambeu

    Rais Samia, Naomba umpangie kazi nyingine DC Simon Simalenga. Anakuchafua

    Simalenga fits well in his position. Duwa ya kuku hiyo ndugu yangu. Nanyi waandishi wa habari acheni kutumika na wanasiasa.
  2. Kinambeu

    Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania waungana na Wanahabari wa Simiyu kumpinga DC Simalenga

    Hapa Bariadi kila mwandishi wa habari amewekwa mfukoni na wanasiasa, tena kwa kulipwa ujira mdogo sana Jambo linalozalilisha taaluma yao. Halafu mbaya Zaidi hawanaga siri kwani hata kwenye magroup yao wenyewe hawaaminiani. Siku ya kikao cha DCC tayari wote hao 7 walishachagua upande na...
  3. Kinambeu

    Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

    Sasa udini Upo wapi hapo?? Hii nchi Ngumu sana, Wewe ndio mdini mkubwa kabisa. Avoid hatred to the Muslims, Hii ni nchi yetu sote
  4. Kinambeu

    Wanyonge ni bomu litakalolipuka muda wowote, tusaidie wanyonge kupata maisha bora kuifanya nchi yetu bora zaidi

    Sijawahi kuona nchi yeyote duniani wananchi wake wanaifurahia kuwa wanyonge.... It's only happening in TANZANIA. Nimejifunza mambo yafuatayo katika msiba huu, Mosi, kuna shida kubwa ya umaskini ndani ya jamii yetu. Pili, kuna shida kubwa sana ya ajira katika nchi yetu tena inatisha sana...
  5. Kinambeu

    Nina mashaka na wanaoitwa wanyonge

    Tafsiri neno 'Mnyonge' ni pana sana la hakika watu wengi hatujuwi maana halisi. Kibaya zaidi tunafurahia kuitwa wanyonge. Mkuu aliweza sana kubadilisha mindset zetu na wote kuendelea kupenda umakini na unyonge. Mganga wa JPM alikuwa mkali sana aliweza kuogopwa na kila mtu hata mtoto aliyopo...
  6. Kinambeu

    Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Kwenye lift nikiwa Antwerp, Belgium ilikuwa usiku wa manane kama saa 8 halafu akatukuta mdada wala hatukumjali na kwakuwa wazungu hawana mambo ya kufuatilia mambo yasiyo wahusu tukaendelea na raha zetu
  7. Kinambeu

    Hoteli ya nyota Tatu inajengwa Chato, Wana-CCM mnafurahishwa na kitendo cha kupeleka kila mradi wa ujenzi Chato?

    Niambie Mkoa wa Lindi kuna mradi gani Mkubwa unaotekelezwa? ndi
  8. Kinambeu

    Kwanini Makamu wa Rais hasemi "Bwana Asifiwe"?

    Nakumbuka rafiki yangu mmoja ni Padre aliwahi niambia nawapenda Waislam kwa mambo yafuatayo , kufunga Ramadhan mwezi mzima, kuswali swala Tano kila siku, ndoa zao na namna wanavyozikana. Akasema sisi Wakristo KUSALI kila siku tumachiwa sisi tunaokaa abayasian na bado hata jumapili au jumamosi...
  9. Kinambeu

    Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Unjan kaka.....umenikumbusha maisha ya Durban nimekumbuka mbali sana. Workshop ni maarufu sana yaani kama Kariakoo kwa maana magari karibia yote yanaanzia hapo kwenda Umpagen, Westville, Kwamachu, Umlaz, Wastgate, Umhalanga, Pavillion nk..... Hapo Workshop kuna mtaa maarufu kama Kariakoo...
  10. Kinambeu

    Rais Magufuli hali ya maisha ni ngumu sana, tuonee huruma

    Jiwe is a sadist...... one receives gratification from causing pain and degradation to another. a person who enjoys being cruel...... Mitano tena
  11. Kinambeu

    Dkt. Kimei: Wizara za Kilimo na Viwanda kupewa 6% ya bajeti will never work. Ukusanyaji mapato ni mdogo, au huenda GDP ya Tanzania iko overstated

    Kuna kipindi kinakuja serikali itashindwa kukusanya hata nusu ya fedha zinazokusanywa Leo....... Time is the best teacher
  12. Kinambeu

    Je, ni sawa kwa Rais kupokea wageni wa kitaifa nyumbani kwake?

    Mwenyezi Mungu nakuomba unipe maisha marefu nione maisha baada ya 2025.....
  13. Kinambeu

    Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

    Pascal anza mapema mchakato wa kubadilisha majina ya watoto wako maana kuna kampeni kabambe inakuja....... Utaniambia baada ya 2025 Adios.
  14. Kinambeu

    Uteuzi: Amos Maganga ateuliwa Mkurugenzi Wakala wa Nishati Vijijini (REA)

    Nina rafiki yangu ameanza mchakato wa kuwa badilisha watoto wake majina ambayo yanaonesha kabila..... Anataka yawe majina ya biblia kabisa ili mtu asijue ni kabila gani..... Nilipomuuliza akasema mbeleni anaona giza nene ndio maana ameamua kujihami mapema
Back
Top Bottom