zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,004
- 28,626
Kwamba una justify bajeti za maendeleo za wizara ya viwanda na Kilimo kubaki 6% per utekelezaji?Kwani serikali ndio mwenye viwanda na mashamba ya kilimo, kazi ya Serikali ni kuweka sera na mifumo wezeshi
Hvi unajua yale maahadi ya Kupanua kilimo cha kisasa kwa kuongeza necessary amenities na vifaa-kilimo kwa wakulima wadogo ndio inaingia kwa bajeti kma hiyo?
As long as bajeti yake ilikua approved huwezi justify utekelezaji kuwa below par eti kisa serikali haina viwanda!! Tuwe serious kidogo.