Recent content by kinaeleweka tu

  1. kinaeleweka tu

    JamiiForums Tanzania Mtatiro, Unamaanisha nini kusema, a.k.a Bwana yule?

    Ile mikuu????? Ya mboga mboga utaijua tu
  2. kinaeleweka tu

    JamiiForums Tanzania Ndege mpya za Bombardier Q400 sio kwa ajili ya wanyonge

    Sidhani kama precision wamefikia kiwango hicho cha nauli
  3. kinaeleweka tu

    JamiiForums Tanzania Hamad Rashid: Mgogoro CUF matunda ya ubaguzi, Msajili yupo sahihi!

    Chumia tumbo kibaraka shida yake nini mmuuuttttuuunnngggggiiii mwenyewe anajua anatumika kwa maelekezo maalum halafu Gazeti lenyewe matatzo
  4. kinaeleweka tu

    JamiiForums Tanzania THE CIVIC DEMOCRATIC PARTY [C.D.P],CHAMA CHA SIASA KITAKACHOFANYA KAZI YA UMMA.

    Mlipanga mikakati hii mkafungua Chama hiki
  5. kinaeleweka tu

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunampoteza Kabila Kwa sababu ya Kagame?

    Unaweza fikiri unajua lakini hujijui kama hujui kagame si mjinga wewe Fuatilia ni nchi gani imeongoza kwa kiwango kikubwa kutopitisha mizigo Bandari ya DSM tu kwanza mengine utafikirishwa
  6. kinaeleweka tu

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Maalim Seif wafanya kituko kingine cha kisiasa hadharani!

    Hivi UVCCM ndo nini
  7. kinaeleweka tu

    JamiiForums Tanzania TRA valuation system ya magari haiko fair

    Asante
  8. kinaeleweka tu

    JamiiForums Tanzania Diva: Nyimbo zangu zinabaniwa sana kupigwa Redioni

    Mbona yeye na huyo Adam mchomvu Nyimbo Za Lady Jaydee hawapigi hapo Clouds kwanza anaimba nini heri mchomvu angalau
  9. kinaeleweka tu

    JamiiForums Tanzania Majibu sahihi kwa Charles Kitwanga juu ya Ndege Mpya za ATCL

    Mwendokasi wa Q400 ni speed ya kutua kwa ndege ya Kivita hii ikoje sasa
  10. kinaeleweka tu

    JamiiForums Tanzania KUTOKA VIKINDU: Polisi wapambana na majambazi, askari mmoja adaiwa kuuawa

    Haipo na haijawahi kutokea hakuna watu waliokamatwa mpaka sasa na Askar wa polish wamezingira nyumba inayosadikiwa ndimo wapo wahalifu hao lakini mpaka sasa Wameshindwa kuingia ndani ya jengo hilo Source Efm
  11. kinaeleweka tu

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi waamrisha abiria kufanya usafi barabarani njia panda Monduli Arusha

    Takataka mlitupa wenyewe nani awaokotee safi Sana ingewezekana na barabara wangedeki
  12. kinaeleweka tu

    JamiiForums Tanzania Wasanii waungana kupinga maandamano ya UKUTA

    Hapo hakuna msanii ni CCM tu tena huyo ndo mnafiki haswaaa
  13. kinaeleweka tu

    JamiiForums Tanzania TUCTA wapinga UKUTA

    Mgaya mnafiki sana huyu mzee ameshindwa kusimamia haki za wafanyakazi kazi anajiingiza tena kwenye siasa
  14. kinaeleweka tu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA katika dhana ya kumtikisa Rais wa Tanzania

    Tena mwenyewe akili mgando na finyu kupambanua kama wewe ndo ataona kudai haki ya kikatiba ni kumtingisha Rais kwa kuwa ni mvivu wa kufikiri na kupitia hiyo katiba hata karatasi mbili tu
  15. kinaeleweka tu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA katika dhana ya kumtikisa Rais wa Tanzania

    Ndivyo wewe na yeye mnajidanganya hivyo you mungu hata haya huna kabisa
Back
Top Bottom