Kwanza kwenye dini me usinihusishe sipendi dini yeyote, naona ni ujinga tu na hizo dini zenu ila nimekushangaa unapotaka kutetewa na wanaume wenzio, what a shame?
Nasisitiza sipendi dini yeyote maana dini kwangu ni ujinga sihitaji kuwa nao!
Kwa
H
Kwanza kabisa mimi sio ndugu yako,alafu Lisu ndio kasababisha vurugu zote hizi ilhali yupo jela mama yenu anamjua vizuri,
Kama kasahaulika ulikumbukaje kumuandika
Hata mimi nisingemwamini mwafrika yeyote,maana viongozi wengi waafrika wazalendo walisalitiwa na waafrika wenzao,, halafu Traore Putin ni mahitaji wake au nae beberu?
Niambie koloni my mojawapo la urusi huku Africa alafu urudi kumsema Traore,sasa nasemaje Traore kaza hapo hapo.
Lakini ndio wanaoamdamwa kuliko chama chochote kwa nini?
Kama hawana ajenda si wapuuzwe?
Au nao waanze kuleta agenda za empox na ebola imeletwa na CCM?
Wewe ndio kabisa hujui kitu kuhusu vijijini, vijiji vya leo sio vya enzi ya Nyerere,siku hizi wanajitambua mbaya na kama smartphone hata kijijini tunazo kama zenu tu wa mjini tunajua yote yanayoendelea nchini,mchawi ni wasimamizi wa uchaguzi na to tume ya CCM ikibadilika hiyo dunia itashangaa
Kaacha utajiri wa 250k alafu kazikwa na madini ya dhahabu na fedha ili akaishi nayo kitajiri huko aendako?
Kuna vitu kwa kweli vinachanganya,hasa hizi dini zenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.