Recent content by kimunyesam

  1. kimunyesam

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mabasi ya Shule za Nyamuge na Kivulini yagongana, mmoja afariki

    Nchi za wenzetu gari za wanafunzi huruhusiwi kuisogelea karibu.ikitokea umeigusa hutakaa uendeshe gari milele Sent using Jamii Forums mobile app
  2. kimunyesam

    JamiiForums Tanzania Tunachojifunza ni tofauti na tunachokiishi

    Wengi hawatakuelewa ila unahoja ya msingi!
  3. kimunyesam

    JamiiForums Tanzania The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

    The bold tafadhali ni add kimunyesam
  4. kimunyesam

    JamiiForums Tanzania Kwan TBC si local channel?

    Hata zuku imebaki tbc
  5. kimunyesam

    JamiiForums Tanzania The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

    Mkuu the bold naomba uni add pia kimunyesam
  6. kimunyesam

    JamiiForums Tanzania Manyara: Msafara wa Waziri Kigwangalla wapata ajali. Waziri ajeruhiwa na Mmoja afariki dunia

    Nimepishana na magari mawili ya serikali kama masaa mawili mwendo wa hovyo halafu huko wakifika utashangaa hata wanachowahia!
  7. kimunyesam

    JamiiForums Tanzania Kumbe ndivyo mama zetu walivyo

    Katika vitu ambavyo hua nashangaa! Jaribu kumuonea huruma muweke ndani na mwanae umlee! Mwaka mmoja anakugeuka anaanza kukupelekesha aiseee wanawake!....
  8. kimunyesam

    JamiiForums Tanzania Msaada wa upatikanaji water pump za kisima

    Kama ilikua inatembea chini ya 380 utapata tabu sana! Hizo pump maximum 415 minimum 380. Chini ya hapo zinatembelea low voltage.hivo which current should be high!. Ongea na tanesco wa solve transformer ilio karibu na wewe. Tatizo litakwisha.otherwise nunua genset upate volt sahihi. Lakini suala...
  9. kimunyesam

    JamiiForums Tanzania Msaada wa upatikanaji water pump za kisima

    Uko wapi mkuu ? Niko bize kidogo ila mi mtaalamu wa hayo mambo. 1. Uliza mafundi walifunga water level sensor/switch? 2.umeme gani unatumia? Haupandi na kushuka.na unadhibitije. 3.pampu baadhi zinakubali kusukika mitaani.
  10. kimunyesam

    JamiiForums Tanzania Raia wa kigeni watatu wawekwa rumande kwa kufanya kazi nchini bila vibali

    Waziri hebu nenda na geita na north Mara. Capital drill. Hii kampuni ina wageni mpaka madereva wa mafuta migodini!
  11. kimunyesam

    JamiiForums Tanzania JamiiForums - Maboresho ya mwaka 2018

    Ok
  12. kimunyesam

    JamiiForums Tanzania Hivi Polisi sio watanzania wenzetu mbona mmekuwa waonevu sana

    Binafsi namshukuru mungu malipo ya maaskali polisi anawalipa wengi wao anawalipa hapahapa duniani! Hata wadhulumu vipi hawatoboi. Na wakibahatika kustafu ukiwa unawatesa maana hawajui hata kuishi na jamii
  13. kimunyesam

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mpya,Tumaini jipya SHIRECU Mkoa wa Shinyanga

    Sidhani kama kuna jipya hapo, hata waliopita nafikiri kuna alieitwa luhende! Kizazi cha kusimamia mashirika ya umma bado hakijazaliwa!
  14. kimunyesam

    JamiiForums Tanzania Habari:Serikali imethibitishiwa kuwa makontena mawili yaliyokutwa nchini Vietnam na korosho

    Hapo ndio naiheshimu bar code. Ina namba mpaka shift iliokua kazini kwa bidhaa husika! Lakini kibongobongo utasikia makontena hayajulikani ni ya nani!
  15. kimunyesam

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kulitokea hii mvua ya samaki nchini Thailand?

    Ni kweli. Kimbunga tornado kikianzia baharini ni kikubwa kiasi maji husimama wima nakuzunguka cyclonically .maji husimama wima kama unavoona vumbi na upepo nchi kavu. Kikipita kama mwanza mathalani kikapita ziwani Yale maji huinuka na samaki mule ndani kinauwezo kutembea nayo umbali kadhaa hadi...
Back
Top Bottom