Amani iwe nanyi, kwa wenzetu mlioajiriwa vipi mwezi huu kuna increments kwenye mishahara yenu? Maana sisi wachuuzi wa bidhaa huku mitaani hali sio nzuri tunawategemea nyinyi mkipata na sisi tumepata: maana nasikia ule uhakiki wa miaka miwili umekwisha. Kazi njema
Amani iwe nanyi, inashangaza serikali inayojinasibu kupambana na rushwa na ufisadi kuendelea kutuhumiwa kuwa kunara wa kutoa rushwa.
Tulianza kusikia wabunge wote wa ccm walihongwa mil 10 kila mmoja ili kupitisha madudu bungeni, watu walipaza sauti kukemea na kuhoji swala hili lakini serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.