Recent content by Kimolah

  1. Kimolah

    JamiiForums Tanzania Nchi gani unaona ina mandhari mazuri?

    Cheki Mongolia, Bhutan, Kyrgyzstan, Chile, St Nevis & Kitts, St Lucia to mention a few.
  2. Kimolah

    JamiiForums Tanzania A serious single man is needed age btwn 33 to 42 yrs old

    Ebeneza2018 , huyu huku unayemtafuta
  3. Kimolah

    JamiiForums Tanzania Am looking a woman for serious relationship

    Prisha huyu huku unayemtafuta
  4. Kimolah

    JamiiForums Tanzania SGR inahujumiwa kwa maslahi ya nani?

    Wanawezaje kununua tiketi bila kuwa na utambulisho??
  5. Kimolah

    JamiiForums Tanzania Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

    Yeeep, ni vitongoji maeneo vilivyopo ndani ya halmashauri zilizo ndani ya mkoa wa DSM .. mbopo ni manispaa ya kinondoni , zingiziwa nadhani ni Temeke, Kifuru ni ilala kama sio ubungo halmashauri,
  6. Kimolah

    JamiiForums Tanzania Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

    Mbopo, zingiziwa, kifuru, bombom kijiwe samli.
  7. Kimolah

    JamiiForums Tanzania Hii kitu kama haelewi, nitamueleza.

    Uzi tayari
  8. Kimolah

    JamiiForums Tanzania Interlocking blocks for low-cost construction

    Tunarudi Tena baada ya kuadimika kwa muda
  9. Kimolah

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa kubandika tiles za Garage (interlocking Garage Floor Tiles)

    Asee nimechelewa kuiona hii! December 2024 nimefanya hii setup .. +255783030101
  10. Kimolah

    JamiiForums Tanzania Duka la waarabu Alwasif lanunua kipande cha lami Kariakoo, parking system wamuuzia parking 3 ila hapaki hata gari

    Shida ni kununua parking space na kutoitumia kama parking kwa kupanga vitambaa AU shida ni mwarabu sio mtanzania???
  11. Kimolah

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Anga Tanzania chini ya ATCL ni ghali kuliko hata usafiri kutoka Bara moja kwenda lingine kwa mataifa mengine

    Nauli yao ni kubwa kwenda wapi labda??..na je uwekezaji wa KQ na ATCL unawiana?? Kajaribu kufanya uwianisho wa nauli za KQ within KE na ATCL ndani ya TZ halafu ujionee , na hapo juu tu umetoka kukubali Kodi zinazotozwa na ATCL ni kubwa ( actually wanachotoza ni tozo sio kodi, Kodi wanaikusanya...
  12. Kimolah

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Anga Tanzania chini ya ATCL ni ghali kuliko hata usafiri kutoka Bara moja kwenda lingine kwa mataifa mengine

    Hao ATCL wakati wanafufuliwa na uncle hayati JPM, waliopaswa kumshauri waliogopa na kuhofia kusema iliyo kweli, shirika lilifuliwa bila mpango mkakati, zikanunuliwa ndege ambazo kwa wakati mfupi na wa kati hazikuwa na tija, mapanga shaa q400 ni ndege nzuri sana kwa regional air transport, tozo...
  13. Kimolah

    JamiiForums Tanzania Kati ya matofali ya kuchoma na ya saruji unachagua yapi?

    You can DM me or call +255783030101 nikuassist further informations kulingana na uhitaji wako
  14. Kimolah

    JamiiForums Tanzania Wenye nyumba wamekuwa na hii tabia Kwa wapangaji wao

    ..Bahati mbaya sana kwa nchi yetu hatuna utaratibu rasmi, kama wapangaji (tenants) wangekuwa na utayari wa kulipia security deposit na uwezo wa kulipia pango (rent) kwa wakati , sintofahamu na migogoro na kero nyingi zingefutika. Shida udalali mwingi na tantalila za wapangaji kwa wamiliki, ..ni...
  15. Kimolah

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi itoe mrejesho wa mashamba pori ambayo Rais aliagiza wananchi wagawiwe

    Usije kustaajabu takwimu utakazopewa. Ardhi ya morogoro sehemu kubwa ilishaliwa kwa urefu wa kamba 😏.
Back
Top Bottom