Recent content by kimfly

  1. kimfly

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Kama unafanya kazi kwenye taasisi ambayo haiingizi pesa serikalini kazi yake inategemea kupewa pesa kutoka serikalini kamwe haiwezi lipa wafanyakazi wake mshahara mnono ,mfano angalia TRA TPA TANAPA DAWASA Hawa wote wanaiingizia mapato serikali ndio maana mtaani wanavimba kwa kulipwa mishahara...
  2. kimfly

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Daaah hatimae nimepata kaz,mungu mwema
  3. kimfly

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika madereva wenye Class C

    Nipo dereva hapa nina leseni class E nipe ramani mkuu
  4. kimfly

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Jobless wenzangu habar,napenda kuuliza hv ukiingia oral kuna asilimia kubwa ya ww kupata placement au kubaki kwenye data base baadae ukapangiwa kazi
  5. kimfly

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Professional:drive Experience: 4 years Education:form 4 Age:26 Location:tabora Contact:0750907610
  6. kimfly

    JamiiForums Tanzania Anayejua anachokisimamia Dkt. Slaa kwa sasa atuambie

    Anasimamia mawazo yake
  7. kimfly

    JamiiForums Tanzania Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

    Kwanza pole kwa misukosuko yote ile uliyo pitia kwa kipindi chote kile ulicho sota gerezani ,umepitia udhalilishaji mkubwa San a katika duru hii ya siasa kwani naamini umepata ukomavu wa kutosha katika harakati zako za kudai demokrasia katika nchi hii ya JMT sasa karibu uraiani Kazi ni moja tu...
  8. kimfly

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai ajiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Baada ya spika job ndugai kuamua kuutema ukuu pale bungeni,hii imeashiria kwamba ndio mwisho wa sukuma gang ndani ya bunge na kwenye serikali Kwan sasa wanaenda kupotea kabisa na hii inaenda kuzalisha kundi kubwa lingine litakaloitwa Samia gang kuanzia ndani ya chama Wana sukuma gang kwass...
  9. kimfly

    JamiiForums Tanzania Team msoga kurejea Kwenye mkeka wa Samia

    Baadaa ya kipigo kikali walichopewa kutoka kwa chuma,jiwe,the rate mwenyewe Jpm hatimae msoga gang inarejea taratibu Hadi kwenye uwaziri hapo tukiwa tuishamwona mmoja J makamba hatimae Nape Nauye Ridhiwan kikwete ,huyu yeye inakuwa mara yake ya Kwanza kupewa wizara Nahisi utakuwa hivi,nawasilisha
  10. kimfly

    JamiiForums Tanzania Je niwakati wa samia kuunda Samia gang au bado?

    Binafsi namshauri Samia kuunda gang yake kwa sasa ili aweze kupata uungwaji mkono katika harakati zake za kuutaka urasi 2025-2030 kama jinsi yeye alivyotamka hadharani,tumeshuhudia katika awamu zilizo pita viongozi wakuu wa nchi na ndiyo wenye viti wa chama waliweza kupata [emoji817] ya uungwaji...
  11. kimfly

    JamiiForums Tanzania Baada ya Samia kutangaza kuja na Baraza jipya la Mawaziri, pichani nawaona hawa waking'olewa

    Rais Samia atatangaza baraza jipya la mawaziri hapo baadae kwa mtazamo wangu,Hawa siwaoni Tena kwenye uwaziri Dotto biteko Jafo Pro kabudi Kitila mkumbo Mhaga mpina Hawa nahisi mama atapitanao kwa kasi ya ajabu ,kwa sababu utendaji wao kwa sasa umepungua tofauti na awamu ya 5 chini ya...
  12. kimfly

    JamiiForums Tanzania Nateswa sana na jini mahaba

    Nenda kwa mwamposa
  13. kimfly

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Jinsi ziwa Tanganyika lilivyo na maji mengi

    Kweli bongo maji marefu,maviongozi akili zao wanazikanyagia viatu unadhan ubunifu watapata wap
Back
Top Bottom