Recent content by Kimemeta

  1. Kimemeta

    Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

    Hii article imeandikwa kichochezi.Wengi walipinga ule waraka lkn hii haujawahi kuwa sababu ya wao kutengwa na kabisa.Kanisa Katoliki ni tooo liberal na linaamini katika hoja ndo maana waamini wake wako huru kuchangua aina ya maisha wayatakayo. Ni kweli Kanisa halishiriki mazishi ya mtu ambaye...
  2. Kimemeta

    Mayele anawaza kiatu cha dhahabu badala ya ushindi wa Yanga

    Acha wivu dogo.Ushindi wa Yanga ni magoli,kupata kiatu cha dhahabu ni magoli so kupata kiatu cha dhahabu ni ushindi kwa Yanga pia
  3. Kimemeta

    Shafih Dauda: Wanaovujisha sauti ya Interview ya Feitoto CMG na kutulaumu hawana Akili

    Utetezi wa kijinga kabisa huu.Yes huwa kuna hayo majadiliano lkn hajafikii kumfundisha mtu kitu cha kujibu.Jinga sana ww
  4. Kimemeta

    Ni aibu kwa maaskofu uchwara waliochagua kutokemea waouvu kuja kuwaombea msamaha waovu wao

    Maaskofu walifanya kazi kubwa sana kuushape ule utawala na kwa kiasi kikubwa walidaidia sana.Shida majuha kama ww mnataka Maaskofu wawe activists ndo muelewe.Waliifanya kazi yao quit professionally nawapongeza sana.
  5. Kimemeta

    Nikiiangalia hii picha ya Nape naona kuna shida kubwa kwa hawa viongozi wetu

    Nina changamoto ya kufunguka picha kwangu,tatizo ni nini?
  6. Kimemeta

    Ushauri kwa Serikali kuhusu muandamo wa mwezi

    We naye utakua ni shetani
  7. Kimemeta

    Afadhali kuolewa na Muislamu kuliko Mkristo

    Kaolewe afu utuletee mrejesho baada ya mwaka mmoja
  8. Kimemeta

    Wakristo, Hivi andiko gani limesema maiti azikwe akiwa kwenye Jeneza?

    Yan JF kuna maswali ya ajabu sana aisee,daaaaaa
  9. Kimemeta

    Wanaume wengi wanafanikiwa kupitia migongo ya Wanawake

    Uzi Bora kabisa Kwa mwaka huu.Hongera sana Mkuu. Ila waambie wasikariri sio wanawake wote wako hvi.
  10. Kimemeta

    Kanisa la 'Roman Catholic' linaipotosha Pasaka

    Soma Biblia ww acha kukaririshwa hoja fake na majuha wenzio
  11. Kimemeta

    Kanisa la 'Roman Catholic' linaipotosha Pasaka

    Wewe na kanisa Kako Ka mwaka 2022 unapata wapi uwezo wa kusema kanisa lilikuwepo kwa miaka zaidi ya 2000 kuwa linapotosha?Yan uelewa wako mdogo wa Biblia unautumia kudanganya wajinga wenzio. Kaka hiyo concept ya Pass over na Easter huwezi ielewa kirahisi.Nenda kwa Padre wa Kanisa Katoliki...
  12. Kimemeta

    Nina Diploma ya Udaktari, natafuta kazi Dodoma

    Wote ni Matabibu tu.Daktari anajulikana ni nani.
Back
Top Bottom