Korogwe Tanga: Afisa Manunuzi na Afisa Mipango washtakiwa kwa Uhujumu Uchumi

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,026
1,622
Mahakama ya Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, imefunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi No.06/2023 Jamhuri Dhidi ya Bw. Gregory Matandiko, Afisa Manunuzi na Yasini Msangi, Afisa Mipango Miji Wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe na ilikuwa Mbele ya Mh. Flora Bhalijuye, Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Korogwe Mhe. Shangwe.

Washtakiwa katika kesi hii, Bw. Gregory Matandiko na Yasini Msangi ambao ni Maafisa Manunuzi na Afisa Mipango Miji mtawalia, Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe, wanakabiliwa na Makosa matano ya Matumizi ya Nyaraka kwa lengo la Kumdanganya Mwajiriwa pamoja na kosa la kuhalalisha Nyaraka za Uwongo

Watuhumiwa walitenda Makosa hayo kwenye Mchakato wa Manunuzi katika Mradi wa Ujenzi wa Wodi tatu katika Hospitali ya Makuyuni ambayo Ni Hospitali ya Halmashauri Wilaya ya Korogwe.

Washtakiwa Wote Wamekana makosa yanayomkabili na wapo nje kwa dhamana na kesi imehairishwa ambapo imepangwa Tarehe 20.07.2023 kwa Ajili ya Usikilizwaji wa Hoja za awali.

Chanzo: TAKUKURU
 
WALE WALIOTAJWA NA CAG HAWAKAMATIKI UKIFUNGWA NCHI HII NI UZEMBE WAKO
 
Back
Top Bottom