Recent content by Kimbunga2

  1. K

    Mbowe atuhumiwa kuhamisha mabilioni

    hila gazeti la raia mtanzania nigazeti la propaganda,haliandikagi habari icyo fungamana na upande wowote,lita sababisha uvunjifu wa amani tanzania
  2. K

    Meneja wa kampeni UKAWA/CHADEMA hafai, aondolewe mara moja

    lowassa ndo raisi wako,swala lakuumwa hiyo nikesi,unatafuta na mungu wako,maana kila binadam nimgonjwa ila yanazidiana elewa hilo.
  3. K

    Meneja wa kampeni UKAWA/CHADEMA hafai, aondolewe mara moja

    nikweli mkuu inabidi ukawa wasome nyakati,mkutano mkubwa wa leo arusha,ktokuonyesha nitatizo kubwa,kama tatizo nihela wadau 2ngechangia,tatizo lingine nilamabango picha za mheshimiwa lowasa zimefifia,namabango mengine makubwa hayana picha ya lowassa kuna hujuma kubwa ktka media waratibu wa...
  4. K

    Magufuli hii imepitiza, acheza staili ya mapanga ya TMK jukwaani

    nimeuliza hivi,hivi magufuri yuko chama gani?wajameeni?maana nackia anazungumzia mabadiriko niya nn?
  5. K

    Lowassa hatukuwa rais kwasababu

    kwahiyo watanzania wanao muunga mkono nivichaa,weka naa kili achana napropaganda
  6. K

    Yaliyojiri mkutano wa Mgombea Urais CHADEMA(UKAWA) Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro

    Ndugu wajameni, leo mna karibishwa kusikiliza ufunguzi wa kampeni za mgombea ubunge wa UKAWA kwa tiketi ya chadema,mh,mw/kit wa taifa Freeman mbowe,akiongozana na viongozi mbali mbali wa ukawa,akiwemo mgombea wa ukawa kwa tiketi ya chadema, mheshimiwa ngonyai lowassa, tuache propaganda UKAWA...
  7. K

    Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

    ukawa wawa chane live hao jamaa,wanao copy na paste,niabu kwawa2 makini,kuhadaa jamii,mara 2nataka kufanya madiliko,ccm,nihiyo,hiyo,wakati huu wa2eleze yale maisha bora yapo?ama ndo haya maisha cement kutoka elf7-hadi elf 15,sukari kutoka elf1,kwenda elf2?n,k
  8. K

    Akina mama Mkalama na Iramba waandamana kupinga kauli ya Lowassa

    nadhan hii sheria yamitandao,naona ianzane naww.ukiwa mwongo napropaganda zako uwe na kumbukumbu,nadhan shule yako nidarasa la tatu!
  9. K

    GE2015 CHADEMA Asili, CHADEMA Mbowe, CHADEMA Lowassa

    ujinga nawelewa nivi2 viwili tofauti,unatakiwa ushirikishe naubongo kujadiri,hapa umeandika pumba 2pu,ha2danganyiki pole sana,
  10. K

    Kampeni hizi zinafaa?ccm na ukawa,

    Leo ndo ufunguzi wakampeni,kwa chama cha mapinduzi,sherehe imenoga sana,ila maudhui ya sherehe yamekuwa tofauti kwakuwa kauli zilizo 2mika,nadhani zimekuwa kali sana,naomba usahihi wamaneno mengi aliyo yasema makongoro nyerere,kumvaa mh,sumaye nisahihi?maneno aliyo yatoa mzee mkapa yanaelewa...
  11. K

    Leo 22/8/2015 kampeni zinazinduliwa rasmi

    leo ukawa watazindua kampeni,zao wapi?wakuu nijuzeni,
  12. K

    Godbless Lema akiuka maagizo ya Rais wake

    kama huna chakusema kaa kimya!unatakiwa kujenga hoja
  13. K

    Capt. John Chiligati kuchukua nafasi ya Nape, hatogombea Ubunge tena

    ccm maji shingo.wajiandae kuwa wapinzan,nape kakiua chama!
Back
Top Bottom