Sorry guyz kwa mtu yoyote mtaalam wa maswala ya website na blogs anisaidie natamani jua saba blogs na websites znamasirahi gan na pia ni jinsi gan unaweza imiriki na kuitumia!!!!!!
nchi hii iko huru ko kila mmoja anawaza alitakalo na anafanya alipendalo ko acha nae afuate ndoto zake BUT asitegemee atafka huko kwa ujuz wa kutung mashair wakt watqzania 2naitaj m2 mchapakaz na ambae anaweza jtolea kwa hali au mali kuisaidia nchi ye2
yan utakua umepoteza mda wako wa thaman sana na akishajua jua kua kwa time hio ana shda na ww tena sababu ztakua nying unaweza poteza mpka pesa pia ucpokua makin ko nbola kubaliana na matokeo mapema na kuchukua hatua kabla haujachoka kabsa yan
ukiona dalili kama hizo haitakiwu kuuliza maana utachelewa kufanya yako ww cha mcng n kuangalia wap inatakiwa ukaangukie na co kujidai ww unajua sana kupenda kulko hata ujpendavyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.