Thats 1VD FTV VX-R V8 six speed (7 being reverse) twin turbo n can do up to 260 km/hr bila shida..
Pili ni nadra sana gari ya kiongozi ikaonekana na namba za initials za cheo chake in the event of accident as tukio lolote likitokea cha kwanza kutoa ni namba kwa ajili ya usalama na kumbuka zile...
Busara ni kitu cha bure kiongoz, sijamtusi mtu hapa kama ulikerwa na nlichopost ungekaa kimya may b wengine watapata ufahamu..
Tuwe wabunifu kwenye mambo ya msingi na si kuonyesha ubunifu na umahiri kwenye kutukana,
CGI-Commissioner General Immigration
IGP-inspector General Police
CDF- Chief of Defence Forces
CGF- Commissioner General Fire
CGP- Commissioner General Prisons
CS- Chief Secretary
CAG- Comptroller and Auditor General
AG-Arttoney General
S-Speaker
N S-Naibu Speaker
KUB-Kiongoz wa...
Vingine muwe mnajadili katika mfumo wa kuuliza kama huna uhakika navyo...
Kwenye gari mfumo wa gesi ya ac unauhusiano wa moja kwa moja na mzunguko wa engine kwa maana compressor ya gesi ya ac inazungusgwa na belt ambayo inategemea mzunguko wa engine hivyo unapowasha ac engine inakua imeongezewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.