Kuna maada nyingi za kujadili kwa ajili ya kulisaidia taifa lako km solution for agro-economy, solution for unemployment, solution for poor education or solution for favourable balance of trade. Lakini unaleta maada ambayo haina kichwa wala miguu. Labda tukujuze kidogo jambo usilolifahamu, nchi...
Km kuna jambo linaloweza kumpitisha kwenye wakati mgumu kwenye utawala wake ni hili. Mwendazake tried but watu tulitegemea jambo baya linaweza mkuta katokana na kuwaweka nje ya mfumo wenye chama chao. Na yeye anajaribu kwenye nyakati ambazo wenye chama chao walitulia tu pamoja na kwamba hawakuwa...
Habari Gani Mataalam.
Aisee kina bwana mdogo wangu amefaulu anataka kwenda FormV. Kwa sababu hapa ni nyumbani kwa wajuzi naomba mnisaidie shule nzuri ya formV kwa kuzingatia haya.
1. Mchepuo wa sayansi
2. Iwe mchanganyiko(Girls&Boys)
3. Ada iwe around 2M-3M
Thanks
Mijitu mingine mizwazwa sana, Nigeria Algeria wanasupply gesi asilia kwnye nchi kadhaa africa lakin mbona wametoboa tu kuliko wewe unaetaka kulalia gesi, i think we jamaa hujui kitu kuhsu biashara za mataifa
Tuliwaona ni makamanda walioiva mno, waliokuwa tayari kufa kwa ajili ya kutetea, haki za binadamu, demokrasia, katiba na n.k
Lakini mmoja baada ya mwingine wakaanza kusaliti kambi ya mapambano. Wakathamini fedha na madaraka kuliko kuwatetea wananchi, Aisee!!
Halafu leo utakuja kuniambia kuna...
Unajua kazi ya uongozi inahitaji uzoefu pia km kada zingine, makonda ana uzoefu na siasa so cv yake ni nzuri kulinganisha na mtu ambae ndo anaanza. Ata km hatateuliwa lakini kuna siku atagombea mahali na atapita na atarudi kwnye siasa tu. Mark my words
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.