Recent content by KIMARA BRIDGE

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete yuko wapi?

    YUPO HUMUHUMU JF NAE NI MEMBER.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Sherehe za Kuapishwa Rais Mteule wa Nigeria, Bola Tinubu, Mei 29, 2023

    wewe mtu jambo gani tenaa?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  3. K

    JamiiForums Tanzania NEMC wameona kinachoendelea

    nashauri pia nemc wadhibiti makelele ya misikiti, yaani saa 10 unavuta shuka mara waaakiiiibbaaaa lisauti likubwa utafikiri wote ni wavaaa kobasi.
  4. K

    JamiiForums Tanzania DAWASCO Kimara mwisho matangini sasa yatosha, tunakuja ofisini kwenu

    subiri saa 9 usiku tunaingia kwenye matank matangini,
  5. K

    JamiiForums Tanzania DAWASCO Kimara mwisho matangini sasa yatosha, tunakuja ofisini kwenu

    Hawa wanajiona kama there are next to God wakati wanatafuna kodi zetu na they are not apperciate sisi walipa kodi na wana lugha ya et mamaaaaa katoa bbb kadhaa na siyo kwa hisani ya walipa kodi wa TANZANIA.
  6. K

    JamiiForums Tanzania DAWASCO Kimara mwisho matangini sasa yatosha, tunakuja ofisini kwenu

    Aweso umezingua na sisi tutakuzingua
  7. K

    JamiiForums Tanzania DAWASCO Kimara mwisho matangini sasa yatosha, tunakuja ofisini kwenu

    Kwa masikitiko makubwa sasa mmeamua kula nje ya kamba naona mnatunia mipira inayovutika. Hivi ni kwa nini maji hayatoko kwa siku nnee? Na hamtoi taarifa yeyote, hivi nyinyi mnatuchukuliaje sisi wenye nchi au mnataka tutanguilie mbinguni. Raisi wa nchi ini msimamizi na sisi ndiyo boss wakee...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaiteka mioyo ya wawekezaji

    mleta mada hata shule hujaenda vizuri unakuja vitu vya kingeseee, tofautisha kwanza L na R kwanza yaani mnakera
  9. K

    JamiiForums Tanzania Unaweza pata miche kadhaa ya Yellow, Red, na Pulple Dragon fruits

    mkuu nahitaji cutting, ni bei gani kwa sasa
  10. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa Bagamoyo

    uza mashamba siyo viwanja
  11. K

    JamiiForums Tanzania Naanza kuamini kwanini Bangi kwa nchi nyingi tu imeshindwa kuhalalishwa

    bangi unayovuta ni feki wewe, unakula makushabu.....agizia kitu cha chuga hutajuta, sawaaaa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza viwanja bei 1,000,000 kulipa kwa awamu

    what is FUTI ?????????????
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijutii kuoa Mdigo

    Weka picha tumuone,😇
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penzi la mhudumu wa 'Lodge' Dodoma limenikosha mwenzenu

    Wee unataka kula shemeji yako??? lakini kitu kizuri kula na ndugu yako, nasema uooongooooo?
  15. K

    JamiiForums Tanzania SOLD: Nauza Bata Bukini wakubwa. Nipo Makongo Juu

    sheria iko namna hii ... ukilizwa na wewe tafuta wa kumliza.. bull crap🤣 😇
Back
Top Bottom