Recent content by Kimalaunga

  1. Kimalaunga

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Kimalaunga

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza ndani ya mwaka mmoja bila ajira

    Tuendelee kupambana, Taifa la kijeshi, enzi Zach mwalimu, fungeni mikanda, wote ni makamanda, [emoji23][emoji23][emoji23]
  3. Kimalaunga

    JamiiForums Tanzania Unashabikia adhabu ya viboko au uko upande gani?

    They under 18! Wasubiri wafikie umri wa kisheria hata kama atakuwa na simu 1000 hakuna atakaye muuliza. [emoji23][emoji23]
  4. Kimalaunga

    JamiiForums Tanzania Unashabikia adhabu ya viboko au uko upande gani?

    Wewe ni mtz? Au umezoea kuangalia tamthilia?
  5. Kimalaunga

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Hili ndiyo anguko la Startimes? Chanel za fox,tv1,cloudtv,national geographic wild,n.k zote mmefuta. Maana ya nini? Kama si ndiyo hatima yenu?
  6. Kimalaunga

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu kuhusu huyu ndugu

    Miaka ishiri bado upo home, na wewe ni tatizo
  7. Kimalaunga

    JamiiForums Tanzania Kusomesha shule za ada kubwa na kawaida nini faida

    Hakika, changamoto ni chanzo cha Maarifa. [emoji193]
  8. Kimalaunga

    JamiiForums Tanzania Waliozembea ajali ya moto Morogoro kuchukuliwa hatua

    Wasifukuze mwizi kimyakimya
  9. Kimalaunga

    JamiiForums Tanzania Naombeni mwenye Biblia kubwa (Hard copy) anisaidie

    Samahani, Wewe ni mwanaume wa Dar? Au umefika maramoja tu?
  10. Kimalaunga

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mwanza niambieni wapi pa kujiliwaza sikukuu hizi

    Hapo maanayake fika nyenge, nyegezi
  11. Kimalaunga

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Mlisema mtaonyesha UEFA, mbona hakuna kitu? Kweli TZ shamba la bibi wajanja mnajivunia vyenu kwa ulaiiini
  12. Kimalaunga

    JamiiForums Tanzania Dkt. Reginald Mengi kuja na simu janja za bei rahisi (IPP TouchMate), uwezo wa kukaa na chaji ni wiki nzima

    Wenye tecno tuhurumie, legeza ukali wa maneno
Back
Top Bottom