Hiyo ni TTCL Landline (simu ya melani). Wale wa zamani wanazijua sana namba hizo...! 023 ni code namba ya mkoa wa Pwani au Morogoro. Hata hivyo usiwe na wasiwasi kuhusu gharama ya kupiga kwani ni kama vile una tigo halafu unapiga mtandao mwingine (voda, halotel, smart, airtel).
Sent using...