Tangazo la kazi

KIM JONG

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
213
57
Wanahitajika vijana kwa ajili ya kuuza duka.

SIFA ZA WAOMBAJI

1. Awe amehitimu na kupata cheti cha kidato cha nne

2. Awe amehitimu mafunzo ya kozi ya biashara ngazi ya astashahada (certificate) au kozi nyingine ya astashahada inayofanana na hiyo.

3. Awe mwaminifu na mwenye kujituma bila kusimamiwa na mtu katika kutekeleza majukumu yake.

4. Awe na umri usiozidi miaka 25.

MWENYE SIFA TAJWA HAPO JUU PIGA SIMU MUDA WA KAZI KWA NAMBA.023-2401018

ENEO LA KAZI NI KISARAWE-PWANI.
 
Tangazo hili litadumu kwa WIKI MOJA tu ambapo watakaokuwa wamefanikiwa itakuwa ndo bahati yao.
 
Umegonga olevel yako kwa shida ukamaliza then ukajiongeza na cheti au diploma..then unaenda kufanyiwa interview ya kuuza duka la sabuni mbuni na pipi kifua!!..uliza wapi sasa?.. kisarawe kwa kina badi bakule!!....tena unaweza kukuta panel ina watu kama 20 hivi ambao hawajui hata maana ya interview!!!!.dah R.I.P elimu
 
Certificate-cheti
Diploma-Stashahada
Advanced Diploma-Astashahada
Degree-Shahada
Postgraduate Diploma-Stashahada ya juu
 
Umegonga olevel yako kwa shida ukamaliza then ukajiongeza na cheti au diploma..then unaenda kufanyiwa interview ya kuuza duka la sabuni mbuni na pipi kifua!!..uliza wapi sasa?.. kisarawe kwa kina badi bakule!!....tena unaweza kukuta panel ina watu kama 20 hivi ambao hawajui hata maana ya interview!!!!.dah R.I.P elimu
Wabongo kwa maringo hatujambo...! Ukiona mpaka kazi inatangazwa basi ujue ni Kampuni iliyojipanga. Ingekuwa ubabaishajibabaishaji si jamaa wana ndugu wengi tu ambao hawana kazi kule kijijini walikotoka. Si wangewaajiri tu ndugu zao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom