Wauzaji wa maduka wanahitajika (Shop Attendants)

KIM JONG

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
213
Reaction score
57
Wanahitajika wafanyakazi wa kuuza maduka ya Vilainishi, Vinywaji, uwakala wa mabenki na huduma za kifedha kupitia mitandao ya simu.

SIFA:
1. Awe amemaliza kidato cha NNE na kufaulu masomo na awe na cheti cha mafunzo yoyote (Certificate au Diploma) AU awe amemaliza kidato cha SITA na si zaidi ya hapo.

2. Awe na uwezo mkubwa wa kuelewa na kufanya mahesabu ya mauzo.

3. Mwenye umri usiozidi miaka 25.

4. Mwaminifu na awe na udhamini wa watu 2 wenye makazi rasmi atakapopatiwa kazi.

MAENEO YA KAZI: Maduka yako pembezoni mwa jiji la DSM na katika wilaya za jirani za mkoa wa Pwani.

MALAZI:
Kampuni inagharamikia malazi ya mfanyakazi karibu na eneo la kazi.

KUTUMA MAOMBI
Tuma maombi yako kwa email ifuatayo ukiambatanisha CV na nakala za vyeti:

j4biznetworks@gmail.com

Mwisho wa kutuma maombi ni 31/12/2019.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.. Matapeli hao kuwa makini.
Hawa jamaa nawafahamu si Matapeli ila sina hakika huwa wanashida gani na wafanyakazi wao maana kila mwaka wana ajiri na walishawahi niita mala kadhaa kwenye Interview zao ila nilikuwa napiga chini wako kisarawe wana maduka ya FILLING STATION na vitu kama hizo kama una sifa omba.
 
.. Ok bt matapeli wengi ndio stail zao hizi, binafsi ni mjasiriamali nimejiajiri mkuu.
 
Hawa jamaa nawafahamu si Matapeli ila sina hakika huwa wanashida gani na wafanyakazi wao maana kila mwaka wana ajiri na walishawahi niita mala kadhaa kwenye Interview zao ila nilikuwa napiga chini wako kisarawe wana maduka ya FILLING STATION na vitu kama hizo kama una sifa omba.
HAWA JAMAA NI SHIDA
 
Nadhani wachumba wanatafutwa kama una sifa za kuolewa changamkia 🙈
 
Wanahitajika wafanyakazi wa kuuza maduka ya Vilainishi, Vinywaji, uwakala wa mabenki na huduma za kifedha kupitia mitandao ya simu.

SIFA:
1. Awe amemaliza kidato cha NNE na kufaulu masomo na awe na cheti cha mafunzo yoyote (Certificate au Diploma) AU awe amemaliza kidato cha SITA na si zaidi ya hapo.

2. Awe na uwezo mkubwa wa kuelewa na kufanya mahesabu ya mauzo.

3. Mwenye umri usiozidi miaka 25.

4. Mwaminifu na awe na udhamini wa watu 2 wenye makazi rasmi atakapopatiwa kazi.

MAENEO YA KAZI: Maduka yako pembezoni mwa jiji la DSM na katika wilaya za jirani za mkoa wa Pwani.

MALAZI:
Kampuni inagharamikia malazi ya mfanyakazi karibu na eneo la kazi.

KUTUMA MAOMBI
Tuma maombi yako kwa email ifuatayo ukiambatanisha CV na nakala za vyeti:

j4biznetworks@gmail.com

Mwisho wa kutuma maombi ni 31/12/2019.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyinyi @gmwil.com huwa miyeyusho sana....Kampuni mnashndwa hata kuwa na domain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna aliyefanikiwa kupata kazi jamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom