Recent content by kilyabanu mkono

  1. kilyabanu mkono

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Arsenal fun's mmechachuka kudadaki[emoji2][emoji2]
  2. kilyabanu mkono

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Sh, 2 fc wanafelj sana
  3. kilyabanu mkono

    Arsenal kuwa wa kwanza kuongoza ligi ya EPL kesho msimu huu

    Ila mkuu amini msimu uliopita kama ulikuwa shabiki wa Arsenal/Yanga uliponea tu kupata SONONO
  4. kilyabanu mkono

    Arsenal kuwa wa kwanza kuongoza ligi ya EPL kesho msimu huu

    Samahani mkuu nimepayuka tu,[emoji2960][emoji2960]
  5. kilyabanu mkono

    Arsenal kuwa wa kwanza kuongoza ligi ya EPL kesho msimu huu

    Wanasajili wachezaji wa sh. 2, Ubingwa wausikie tu kwa majirani
  6. kilyabanu mkono

    Arsenal kuwa wa kwanza kuongoza ligi ya EPL kesho msimu huu

    Ila mashabiki wa Arsenal yaani hawana raha na timu yao, isitoshe unakuta mtu ni team Arsenal na team Yanga daa
  7. kilyabanu mkono

    Mwizi ataka na kusisitiza awekwe Korokoni sababu hana imani na atakachofanywa na aliyemwibia

    Haya mambo yapo mbona, mwaka jana jamaa(mwizi) alimkodi bodaboda kutoka maeneo ya Africana kumpeleka goba akamwambia anaenda kupima madirisha ya nyumba kwenye site, Hivyo akamuomba wapite dukani wanunue tape. Safari ikaenda mpaka kwenye hyo site wakafika jamaa akashuka akazunguka nyuma Mara...
  8. kilyabanu mkono

    Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

    Sijamaliza hata dak 2 nimemtabilia kadi Mukoko kutokana amekuwa katika mchezo wa panic
  9. kilyabanu mkono

    Kutembea kwa miguu au baiskeli kwenda Kigoma

    Wote wale waongo hakuna aliyetembea kutoka kigoma,walikuja wanadandia tu nagari.
  10. kilyabanu mkono

    Ubishi wa kitaa

    Hongereni Wana msimbazi na wapenzi wa kabumbu wote " nipo katika kibanda umiza hapa tunaomba wajuzi wa mambo mtupe usahii " Ikiwa Yanga Sc atabeba kombe la FA atatakiwa kucheza Shirikisho kama Bingwa mtetezi au atacheza moja kwa moja club Bingwa?
  11. kilyabanu mkono

    Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

    Natamani zipigwe penalty kama zile za mach ya man u zote 11
  12. kilyabanu mkono

    Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

    We jamaa umenichekesha kweli, ili wawalushie ndizi et
  13. kilyabanu mkono

    Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

    Sijawahi muelewa hata kidogo, Kisinda aliyechangamka hyu
  14. kilyabanu mkono

    Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

    England Makinda wengi, Saka nae ni kisanga tuu hope Italy wanitoe kimaso maso
Back
Top Bottom