Recent content by kilutema

  1. K

    Arusha yalipuka kwa shangwe baada ya Gambo kutumbuliwa

    Nahisi anahamia page ileee ya bungeni! Jiandaeni, yupo sana tu huyu!
  2. K

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Mchepuko ndio dili, njia kuu foleni!🙆🏾‍♂️
  3. K

    TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

    Eee Mungu tutee waja wako Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    Esperance De Tunis yakataa kurudisha kikombe na medali CAF

    Warudishe tu! Haina namna! Tena waje warudie pale kwa mkapa! Japo vilabu vyote viwili wote ni walewale tu
  5. K

    TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Mi napmba nijue, Ni lini mtaboresha mitambo yenu kwa wneo la kilolo milima ya udzungwa; ngangange, bomalangombe, masisiwe, udegenda na vijiji vingie ili tuwapate vizuri km mnavyojinadi kuwa niliondokewa ninyi ni bora!?
  6. K

    Watanzania wote wanajua maana ya Utundu Lissu

    Tukiitangaza nchi kwa style hii, hapana! Ila tunawasubiri waje machinjioni kwetu kwa mchina pale, wao wametuchezesha usiku kipindi cha baridi sana, sisi tutawachezesha mchana saa nane wakati wa joto sana waonje shubiri na wao! Km hawatamwita firauni aje awasaidie! alaaah![emoji31] Sent using...
  7. K

    Fatma Karume: Sheria inayokataza mapenzi ya jinsia moja imepitwa na wakati

    Hapo naona hoja za kibinadamu sana! Mungu kaachwa pembeni kabisaaa! Ni hatari tunakoelekea!
  8. K

    Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

    We Mungu, we we siyo sisi! Utabaki kuwa Mungu! Asante kwa kumrudisha MO salama! Tunakuomba hata wengine waliopotea na hawajulikani walipo, tenda muujiza warudi! Na nguvu yako Mungu, iwapige upofu wa macho ya akili na ya mwilini wasiendelee kufanya uhalifu huu! Ameen!
  9. K

    Uchaguzi mdogo majimbo ya Ukonga na Monduli: CCM yashinda majimbo yote!

    Amani! Amani! Amani! Jamani! Tanzania kwanza!!
  10. K

    Lugola: Bodaboda kufungwa matela kudhibiti ajali

    Nahisi itakuwa habari zaidi!
  11. K

    PICHA: Waziri wa Ujenzi, Makame Mbarawa akishangaa nyumba iliyojengwa Juu ya Reli

    Hapo napo mtu akivunjiwa ailaumu serikali!?
Back
Top Bottom