Watanzania wote wanajua maana ya Utundu Lissu

GRAMAA

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
1,155
3,399
* Utundu Lisu ni ushujaa uliotukuka.

* Utundu Lisu ni kutokuwa na uoga wowote.

* Utundu Lisu ni kutangazia wazungu mazaifu ya nchi yako.

* Utundu Lisu ni uwezo wa kusema ukweli daima.

* Utundu Lisu ni kusimamia haki daima.

* Utundu Lisu ni uwezo wa kutetea wanyonge kupitia vyombo vya kimataifa.

* Utundu Lisu ni kuwa sawa kwa kila jambo ulitendalo.

* Utundu Lisu ni kukosoa kila kitu kinachotendwa na serikali.

* Utundu Lisu ni kuwa na misimamo imara.

Sasa kama ndiyo hivyo shida ipo wapi sasa?
 
Lissu hatangazi madhaifu ya nchi yake, Lissu anasema ukweli daima maovu ya serikali ya Tanzania (not nchi)

Sent using Jamii Forums mobile app
Anasaidia sana TANZANIA kujulikana kuwa kuna watu wana akili, baada kufikiri kuwa ni nchi ya wajinga watupu baada ya "wanaume" wa makinikia kuwadanganya na serikali Kuwavunga raia wake kuna Trillion 450 na kishika uchumba Bil 700

Sent using Jamii Forums mobile app
 
* Utundu Lisu ni ushujaa uliotukuka.

* Utundu Lisu ni kutokuwa na uoga wowote.

* Utundu Lisu ni kutangazia wazungu mazaifu ya nchi yako.

* Utundu Lisu ni uwezo wa kusema ukweli daima.

* Utundu Lisu ni kusimamia haki daima.

* Utundu Lisu ni uwezo wa kutetea wanyonge kupitia vyombo vya kimataifa.

* Utundu Lisu ni kuwa sawa kwa kila jambo ulitendalo.

* Utundu Lisu ni kukosoa kila kitu kinachotendwa na serikali.

* Utundu Lisu ni kuwa na misimamo imara.

Sasa kama ndiyo hivyo shida ipo wapi sasa?
Karia hakupaswa kuchanganya mpira na siasa wazi wazi namna hii yawezekana maboss wake ndio waliomtuma aseme lkn nadhan ni utashi wake.karia unapaswa kuomba radhi juu ya kauli yako vinginevyo tasnia ya michezo unaenda kuigawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm mnapokuwa hamna hoja basi mnakuwa kama kinyesi kilichooza!
Mwenzenu amewashauri muwe mnajipanga na kuja na hoja zenye mashiko maana mnaiia aibu CCM na serikali,lakini bado hamjamuelewa tu!
 
Kweli kabisa simba wanafanya utundulissu kwa kuchafua taswira ya taifa nje.
Tukiitangaza nchi kwa style hii, hapana!
Ila tunawasubiri waje machinjioni kwetu kwa mchina pale, wao wametuchezesha usiku kipindi cha baridi sana, sisi tutawachezesha mchana saa nane wakati wa joto sana waonje shubiri na wao! Km hawatamwita firauni aje awasaidie! alaaah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mleta mada unajifanya unamsigia Tundu Lissu lakn umeungana na Karia kuzd kumkashifu Lissu. tafadhari Lissu hana sifa za kijinga hizo
 
Acheni utundulisu kwa nchi yenu. Porojo hazisaidii chochote.
You sonovang'ombe look here!Lissu hajawahi kuisaliti wala kuichukia nchi.Lissu anaisema serikali hii ya awamu ya tano na bunge lake.Rudia kusoma.Serikali na bunge lake.Hajawahi kumsema mwananchi wa Namanyele Sumbawanga,Kigwa Tabora wala wa Kibengu Iringa.Lissu anaisema vibaya serikali.Kama hujui tafsiri ya nchi na serikali weka kiuno chini ufundishwe.
 
Back
Top Bottom