Hawa jamii hii huwa wana kasumba mnatoroka pamoja home but yeye huwa na tendense ya kurudi kabla yenu na kujikosha kwa unoko kibao, utasikia wapo mtoni wanaogelea nahuku naye alikuwemo
Hahahaaaaa umenikosha ndugu, coz unajua mtoto mbeya kuliko wote nyumbani anayependa kusema siri za mama hatakamani mbululaa kiasi gani lazima baba ampende coz si ndio mbea wake...
Fala
Lofa wewe hapa hatutafuti usawa mnama..! Uhalisia wa mambo wewe unapajua terrat kweli.? Alafu mtu kakataliwa kwao leo hii nyinyi ndio wema kuliko ndugu zake ama.? Au ndio mpango kabambe wakuleta uwozo kwenye jamii...! Kinyume na matakwa ya rais.!
Sasa mkuu mbona hili swala ni la kawaida kabisa mkuu kwa hawa magamba, Skia hapo awali rejea historia ya aliyekua waziri wa elimu bwana J.Mungai,. Pale Mkwawa alifanya nini.? Hapo unapata picha kamili ya upumbavu na ujinga wa enzi za wahujumu uchumi kwa ukosefu wa umakini.
Hapo nazungumzia...
Haaa..! Aise hivi hata chembe ya aibu imepotea kabisa, haya ngoja tuone ila kila lenye mwanzo lina mwisho. Ndugu zangu wazanzibari msivunjike mioyo...!
Na
Nakuheshimu mkuu, hivi jee wewe umechoka.? Nadhani bado coz usinge ongea kitu kwenye uzi huu kama umechoka, natumaini bado unaelewa umuhimu wa mweshimiwa Edward katika taifa hili.!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.