Recent content by Kilolojnr

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uwanja umejaa mpaka kutapika, Asante mama kizimkazi kwa kutuharibia nchi yetu nzuri yenye umoja na mshikamano

    Ila Watanzania mijitu ya OVYO sana, ni lini huo Uwanja ulijaa kwa mechi za Taifa Stars kwa watu kulipia ticket kabisa?
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usajili: Maajabu ya Thamani ya Mzize na Dau la Usajili wake

    Salaam Wanajukwaa, Kumekuwa na kelele nyingi sana juu ya Tanzania 'Wonderkid' Walid/Clement Mzize hasa juu ya Thamani yake ambapo kwa mujibu wa Maelezo ya Klabu yake na mashabiki wa Young African SC ni kuwa Thamani ya Mzize ni zaidi ya US dollar Milioni Moja ($1,000,000). Hapo hapo kutokana na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Maporomoko bei ya mbaazi Wakulima walia na Samia

    Mkuu maswali yangu umeyaona yote? Nakuwekea Link hapa chini kwa mujibu Bei ya Mnada https://www.tmx.co.tz/page.php?page=market
  4. K

    JamiiForums Tanzania Maporomoko bei ya mbaazi Wakulima walia na Samia

    Natumanini unafahamu utaratibu wa kununua Mbaazi? Sasa Je, kwa utaratibu ambao unafahamika, ni wapi mwaka jana Mbaazi zilinunuliwa kwa Tzs 4000 kwa kilo Moja? (Ukitaja hata Wilaya tu, nitashukuru). Na, je ni wapi sasa hivi Mbaazi inanunuliwa kwa Tzs 800 kwa kilo moja? (Na hapa ukitaja bei ya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Huyu mjasiramali "Sirjeff" anapewa mashitaka ya uhujumu uchumi siku chache tu baada ya kuanza kampeni ya No reforms No election!

    Wangapi wanaandika kuhusu NRNE? Na hawakamatwi Martin wa CHADEMA anaandika karibu kila siku, ila lini alikamatwa kwa ajili ya kuandika hivyo? kuna wale watoto sijui vijana akina Nguti na Msuya ambao wanaendaga Nairobi wanaandika kila siku ila hawajawahi kukamatwa. Huyo Sirjeff kaandika NRNE...
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ikitokea Viongozi wa Pamba Jiji, Namungo, Singida au Mashujaa, GSM ataenda pia kama ilivyo kwa Yanga?

    Taarifa ya Ikulu, inasema Viongozi wa Simba & Yanga. Kwa hiyo wanaoonekana kwenye picha ni viongozi wa Timu husika.
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ikitokea Viongozi wa Pamba Jiji, Namungo, Singida au Mashujaa, GSM ataenda pia kama ilivyo kwa Yanga?

    Mkuu ulipewa akili za nini? umeshindwa kabisa kushirikisha fuvu lako? Huyo Azam au Viongozi wake mbona jana hawakuwepo Ikulu kama anadhamini Timu zote za Ligi Kuu?
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ikitokea Viongozi wa Pamba Jiji, Namungo, Singida au Mashujaa, GSM ataenda pia kama ilivyo kwa Yanga?

    Salaam Wakuu, Jana katika picha za Rais Samia na viongozi wa Yanga na Simba, Gharib alikuwepo kwa upande wa viongozi wa Yanga, sasa je, siku ikitokea Pamba, Singida, Mashujaa, Namungo na wenyewe wakiitwa huko Ikulu, GSM ataenda kama kiongozi wa hizo Timu? Kama hatoenda, inakuwaje watu...
  9. K

    JamiiForums Tanzania TRA kwanini waitwe kazini kwa Email badala ya Tangazo la kuitwa kazini linalotolewa kwa UMMA?

    Salaam Wakuu, Kama mtakumbuka, mwezi Februari mwaka huu, TRA walitangaza nafasi za Kazi kwa Watanzania wenye SIFA. Na takribani Watanzania laki moja na kitu, waliomba zile nafasi, na baada kufanyiwa Usaili uliofanyika tarehe 29 & 30 Mwezi Machi. Baada ya Usaili, Matokeo yalitoka Mwezi April na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu na biashara ya Samaki naomba mwongozo hapa

    Kusini hakuwa maziwa ila kuna Bahari!
Back
Top Bottom