Habari wapendwa,
Naomba kuuliza, eti kama hata mimi nikienda nje ya nchi yetu Pendwa Tanzania na ikatokea bahati mbaya nimefariki, ndugu zangu wakaamua kuurudisha mwili Tanzania kwaajili ya maziko,
SWALI: Naamini mtanzania ni mtanzania tu japokuwa haja ukana utanzania wake, Huu mwili/maiti...