Recent content by KILIVITE

  1. KILIVITE

    M/kiti wa halmashauri (w) Malinyi, Fadhili Liguguda ni jipu!!

    "Upumbavu Wako Ndio Umetufanya Watanzania Tudharaulike"
  2. KILIVITE

    M/kiti wa halmashauri (w) Malinyi, Fadhili Liguguda ni jipu!!

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya MALINYI anayefahamika kama FADHIRI LIGUGUDA ni jipu. Tokea awe Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo amekuwa akijihusisha na matendo ya kujinufaisha yeye mwenyewe kwa njia zisizo rasmi ambazo tunaweza kuziita za KIFISADI. Mathalani Mwenyekiti huyo amekuwa...
  3. KILIVITE

    Mbunge kama huyu, ukiwaita baadhi ya wabunge wetu ni vilaza, utakuwa umewakosea?

    Tanzania hii ni yetu sote,kusifia na kukosoa ni maamuzi na haki yetu sote. Wenye aleji ya kukosolewa na raha ya kusifiwa wana matatizo makubwa ya akili!!Wao ndio wanafaa kuhojiwa na kupimwa mkojo!! . . Natafakari uraia wa mababu na mabibi zangu!!
  4. KILIVITE

    Ukopaji fedha na jinsi unavyoua Urafiki

    Kamwe usiazime ama kukopa fedha kwa mtu ambaye huhitaji kukosana naye ama kupoteza urafiki na ukaribu naye kabisa.Kama una uhakika hutoweza kupoteza urafiki na ukaribu naye basi unaweza kufanya hivyo.Kumbuka nyakati kama hizi deni linaweza kuzaa uadui wa kizazi na kizazi!!
  5. KILIVITE

    SIHA and Kinondoni are Symptoms Narcissism in CCM

    Kwa wanasiasa wetu huu ni USHITU (Ukosefu wa Shibe Tumboni)
  6. KILIVITE

    Kelele zimesaidia.. Hatimaye amedakwa

    Mimi binafsi sioni kosa la huyo nabii. Ni nabii kama manabii wengine maarufu tunaowajua. Kila muumini kwa sababu zake binafsi anakuwa ameridhika kumwamini ama kutomwamini na kuendelea na imani yake.Tatizo sio lake ila linaweza kuwa ni la waumini watakaokuwa wameamua kumwamini. Polisi...
  7. KILIVITE

    Nimemzaba kofi 'wife' sababu ya Prof.Lipumba. Kamaindi, karudi kwao Kinyerezi

    Nakupongeza sana. Tulia atarudi tu.Kama kuna tusi baya la kunifanya nipigane ni kufananishwa na Profeseli. Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
  8. KILIVITE

    Freeman Mbowe na Wema Sepetu ndani ya penzi zito

    Kilichoumbwa na Mungu....chakumemena!
  9. KILIVITE

    Polisi wavamia hotel ya Blue Pearl na kumkamata Mkurugenzi wa (THRDC) Onesmo Olengurumwa

    Katika jamii iliyostaarabika "vitabu" ni ukombozi. Unaposoma kitabu ukachanganya na akili zako unakuja na mawazo bora zaidi.
  10. KILIVITE

    Dharau za Tundu Lissu kwa sisi Watanzania

    Nampongeza kwa jitihada zake za kutaka kuonana na Mkulu,huenda ana jambo muhimu anataka kumtonya moja kwa moja.Huuu pia ni uzalendo.Kumbuka Tanzania ni ya Watanzania wote hata mimi na wewe,hata Mzee Mkomigumunyo kule kijijini kwetu.
  11. KILIVITE

    Dharau za Tundu Lissu kwa sisi Watanzania

    Mimi nina wazo tofauti.Nchi yetu imebarikiwa kuwa na wataalamu lukuki wenye weledi wa hali ya juu katika sheria.Jambo baya sana ni kuwa kwa miaka mingi wataalamu hawa waliosomeshwa kwa kodi za wavuja jasho wamekuwa si msaada kwa Nchi na watu waliowasomesha.Mikataba isiyo na tija kwa taifa na...
  12. KILIVITE

    Mke wangu kalipendea nini hili jitu?

    Kwangu mimi huyo ni malaika aliyetumwa kwako ili ujifunze kabla mambo hayajaharibika.Ninashukuru UTAKUWA umejifunza mambo yafuatayo; 1.Ukaribu na familia yako NI MUHIMU kuliko shughuli zako za kwenye mabonanza; 2.Kitambi sio dili 3.Kitoa out familia ni jambo muhimu sana 4.Ndugu zako wanahitaji...
  13. KILIVITE

    Ni gharama kubwa kuwa na Mwanasheria mzuri asiye na uzalendo

    Mimi nina wazo tofauti.Nchi yetu imebarikiwa kuwa na wataalamu lukuki wenye weledi wa hali ya juu katika sheria.Jambo baya sana ni kuwa kwa miaka mingi wataalamu hawa waliosomeshwa kwa kodi za wavuja jasho wamekuwa si msaada kwa Nchi na watu waliowasomesha. Mikataba isiyo na tija kwa taifa na...
  14. KILIVITE

    Sumaye awakaanga Magufuli na mkuu wa mkoa wa Dar

    Kama kuna maneno ambayo ninayakumbuka vyema kipindi cha Kampeni basi ni kauli ya Mhe.Fredrick Sumaye kuwa Ndani ya CCM hakuna wa kumshika shati Magufuli!!!
Back
Top Bottom