Recent content by Kilimbatzx

  1. K

    JamiiForums Tanzania Bukoba mtapokea utapeli wa CCM tena?

    Umesahau na ukumbi wa Rio Di Janeiro
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ukubwani kuna yule rafiki au mpenzi ambaye kamwe huwezi kuja kumsahau kwenye maisha yako hata kama maisha yatawatenganisha. Ni nani huyo

    🤣🤣🤣🤣 Ningechelewa sana kama ningeendelea na ule ujinga Ile miaka mitano ya Ujumbe faida ya ilikuwa kubwa maradufu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ukubwani kuna yule rafiki au mpenzi ambaye kamwe huwezi kuja kumsahau kwenye maisha yako hata kama maisha yatawatenganisha. Ni nani huyo

    Mwalimu Shilole Aliwahi niambia kuwa nikiendelea na uchadema wangu nitachelewa sana kufika mbali Hiyo ilikuwa ni 2016 Akaniambia dogo ukitaka kutoboa,chukua kadi ya CCM,nenda pale mjini pale wilayani,tafuta vijana maarufu wa UVCCM Wazoee hao,wapigishe pombe mara kwa mara wakishakuzoea then...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nitajie manispaa zlizochoka zaidi kwa Tanzania

    Zipi hizo Kama kuna mikoa ambayo sijawahi ielewa basi mmoja wapo ni Lindi Pamekaa kichovu sana aisee
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nitajie manispaa zlizochoka zaidi kwa Tanzania

    Siku ya kwanza naingia bukoba,sikuamini Ukilinganishq misifa yao na kwao kulivyo dah Bora sasa hivi afadhali kidogo panaleta hamasa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ahmed Assas ana hati ya kusafiri ya kidiplomasia kwa hadhi ipi aliyo nayo? Nchi imeoza hii

    Hizo exceptions ni kama zipi!?
  7. K

    JamiiForums Tanzania TFF yatoa orodha ya mawakala wa Tanzania wanaotambulika na FIFA

    Ili uwe wakala inabidi usomee nini!?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Barabarani kuna watu wana Immunity, usijaribu kuiga. Sheria haziwahusu

    Aahaaaaa Naipataje hiyo diplomatic passport!?
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Seth Mwabe akamatwa kwa kosa la kudukua mfumo wa kampuni ya kubashiri (betting)

    Usijar Hollywood watamtengenezea muvi
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Seth Mwabe akamatwa kwa kosa la kudukua mfumo wa kampuni ya kubashiri (betting)

    Aje nimpe dada
Back
Top Bottom