Siasa za lowasa na Mbatia ni za kistaarabu. Jana tumeona Mbatia akikataa lile sanamu la Funguo nimependa sana kuwa na siasa za hoja kuliko matusi na kudhalilishana. Tutaona Lowasa atakapo anza kampeni kwa kutoa hoja badala ya kutukana watu. Siasa kama hizi zilikuwa za akina Slaa ambazo zimebaki...
Hii mada jamani haikua nyepesi kuchangia na hata anaeongoza alikua makini sana wakati mwingine anauliza walioafiki waseme ndio!!! Wanaafiki lakini anarudi nyuma tena. Hii ni kutokana na issue kukaa kiprofessional zaidi. Waliosoma sheria, uchumi walikua na nafasi zaidi ya kuchangia. Mimi...
hata pale PAC waliposema kuna wanasiasa walisema pesa za ESCRO sio za UMMA mfano waziri wa Nishati na Madini, Waziri kuu, lakini hawajamtaja KANGI LUO... au ni kusahau au ni kufumbia macho marafiki. nae KANGI LUOGA awajibishwe kama alisema uongo endapo PM atawajibishwa.
hata hivyo kuna TOFAUTI kati ya ripoti hizi mbili. kwa upande wa RICH. bunge ndio walifanya uchunguzi na kuwasilisha taarifa Bungeni na kuweka maazimio. kwa sasa Serikali ndio ilifanya uchunguzi kupitia vyombo vyake (CAG na TAKUKURU) baada ya bunge kuandaa hadiru za rejea. kwa mapungufu...
Aliyetoa hoja ni Mhongo ambaye ni mjumbe wa Baraza la Mawaziri. hivyo basi Mhongo ndi alitakiwa kukanusha kauli ya Maselle. kauli ya Maselle haikuwa kauli ya Serikali kulingana na Katiba iliyopo sasa. hata kwa hali ya Kawaida naibu waziri akijibu swali la seriali asiposema kwaniaba ya Waziri...
Timu zikiwa zimelingana pointi na goal difference inangaliwa ninani alifunga mabao mengi akiwa ugenini otherwise ni mikwaju. hii inatumika hata ligi kuu ya Tanganyika. kama simba na Yanga wote wana goal difference sawa na wanalingana points inaangaliwa nani alinyukwa zaidi akiwa kwao basi ndio...
Lakini anamiliki motorcycle aliyo pack nyuma yanyumba. inawezekena ana asili ya uchafu na sio kwamba hana kipato cha kutosha au kuwezeshwa na serikali. waalimu wakuu wangapi wamejijengea makazi yao wenyewe? hata nyumba ya matofari ya udongo ameshindwa he is a dirt teacher
Watu wa Tungi wanateseka sana hawajawahi kuona matunda ya Uhuru. Umeme mradi umekwisha lakini Tanesco wameshindwa kuwaunganishia wananchi meta hadi rushwa itendeke. maji ni bidhaa adimu. ni vema wakaamua kufanya maamuzi ya kupata mchapa kazi au kuendelea na shida zao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.