Tanzania Haina Rais Tena: Muhongo Na Masele Wajitafakari !

Mwingereza

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
1,115
Reaction score
2,771
- Baada ya Waziri Muhongo na Msaidizi wake kuibukia bungeni na kuishambulia serikali ya uingereza kiasi cha kumuita balozi wao kwenda kujieleza mambo ya nje, kisa tu kahoji kuhusu bengi ya Standard Chattred Kuhusika kwenye Kashfa ya IPTL, ni dhahiri kwamba Tanzania haina kiongozi tena. Kila mtu ni rais, na anaweza kusema lolote bila kuulizwa swali

- Hili ilikuwa swala la kidiplomasia ambalo lingeshughulikiwa na Waziri wa Mambo ya nje kama ni kweli balozi wa Uingereza alikosea. Badala yake, Diplomasia ikahamia wizara ya nishati na Madini. Jambo ambalo imeliweka taifa pabaya ki mahusiano na nchi ya Uingereza mbaye ndiye mfadhili mkubwa wa Tanzania kifedha.

- Waziri Muhongo, Masele na Katibu mkuu Maswi wamtumia nguvu nyingi sana kujaribu kuuzima kashfa ya IPTL. Je hii inamaanisha nini? Hii nchi ina Rais, Makamu wa Rais pamoja na Waziri mkuu, kwa nini hawa jamaa wa nishati na madini waachwe kupayuka hovyo hivi? Muhongo asiachwe kupayuko. Atoe ushahidi wake wa CCTV alipowakamata IPTL wakiwapa Upinzani Rushwa kupitia Balozi wa Uingereza.
 
Kwani rais alikuwa wapi wakati kashfa ya iptl ikiendelea? Usishangae kwani hata kina masele wameiona taadisi ya urais ni dhaifu
 
Rais wasas kasha hisi kam anaenda kusitafu so hana mpango hatakidogo na nchi ilimuradi riz1 kapata ubunge ataendele kula
 
Kwani rais alikuwa wapi wakati kashfa ya iptl ikiendelea? Usishangae kwani hata kina masele wameiona taadisi ya urais ni dhaifu

Mhe Rais alikuwa nchini Canada via UK na USA kushiriki katika mkutano wa masuala ya afya ya mama na mtoto.
 
KAULI ya MNYIKA BUNGENI JUU YA RAIS inaendelea kuthibitika
 
Mwingereza, ninadhani kuna jambo moja ambalo hulijui mpaka leo hii. Tambua kuwa ndani ya ccm, hakuna tofauti na samaki aitwaye KAMBALE. Baba ana sharubu, mama ana sharubu na mtoto naye ana sharubu hata kama amezaliwa leo. Kwa hali hiyo hakuna anayethibiti utawala ndani ya nyumba, kila mmoja ana mamlaka ya kufoka pasipo kujali hadhi ya mtu anyemfokea kama alingana naye au la.
 
Mhe Rais alikuwa nchini Canada via UK na USA kushiriki katika mkutano wa masuala ya afya ya mama na mtoto.

Ni aibu kwa rais kwenda mikutano ambayo maafisa wa wizara husika wangeweza kuwakilisha
 
maisha ya kambale kila unaemuona ana ndevu hujui ni nani mkubwa
 
Jamani,hivi hatujiulizi kila siku ni wizara hii moja tu,ndiyo yenye kutuhumu wabunge kula siku ati wamepokea rushwa,ni lini watakiri udhaifu wao?
 
Back
Top Bottom