Recent content by kilght

  1. kilght

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Kiwira wagombea woote wa chadema wameenguliwa kibabe pamoja na tangazo la waziri kuwarudisha wagombea woote
  2. kilght

    JamiiForums Tanzania Rungwe: Kijiji cha Ndaga kiko chini ya ulinzi wa Polisi tangu Jumatatu baada ya wananchi kuwakataa wenyeviti wa CCM na kuwavamia usiku

    Kijiji cha Ndaga kata ya Ndanto wilayani Rungwe kipo chini ya ulinzi tangu Jumatatu. Polisi wa Mbeya na wa Tukuyu wametia kambi hapo baada ya wananchi wa Kijiji hicho kuwakataa wenyeviti wa vijiji na vitongoji walioteuliwa na kuwavamia usiku na kuwapiga wenyeviti wa CCM na katibu.
  3. kilght

    JamiiForums Tanzania Unazitukana hospitali za Magufuli halafu ukiumwa unakimbilia hapo hapo?

    magufuli hana hosipali
  4. kilght

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kutembelea China

    mbona viwanda tayari tushajenga zaidi ya 3000
  5. kilght

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Polisi Rungwe wafanya kazi ya unezi wa CCM

    Nikiwa viunga vya mahakama ya wilaya Rungwe nikisubiria kusikilizwa kwa kesi yangu baina ya Naibu spika TULIA ACKISON MWANSASU ndipo nilipoitwa na baadhi ya askari polisi na kuanza kunishawishi kuhamia chama cha mapinduzi na baadaye wakaongea kebehi kibao juu ya CHADEMA na upinzani kwa ujumla...
  6. kilght

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson ni nani, CV yake ipoje?

    hivi huyu ni mwenyewe kweli
  7. kilght

    JamiiForums Tanzania Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!

    sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kilght

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Habari zaanza kuvuja kuhusu zilikoenda Trilioni 1.5 "zilizopotea"

    Kwendraaa huko na story zako mbovu hixi
  9. kilght

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi "Sugu" na Emmanuel Masonga waachiwa huru baada ya kutumikia kifungo

    Mapokezi tu mnajinyea ccm bana akili ndogo sana
  10. kilght

    JamiiForums Tanzania Zitto atoboa tatizo la msingi kwenye sekta ya madini

    Mbona ujinga kama huu mnauacha adimin vp
  11. kilght

    JamiiForums Tanzania CUF upande wa Maalimu wamtosa Lipumba, yasema kitashirikiana na UKAWA katika uchaguzi mdogo

    Bora iwe hivo maana tumechoka kuwa tawi la ccm bila faida
Back
Top Bottom