Uchaguzi Mkuu Zimbabwe: Emmerson Mnangagwa wa ZANU-PF atangazwa kushinda Urais, Chama cha upinzani cha MDC chayakataa matokeo

Muda wote wa kampeni wazimbabwe wengi wamekuwa wakilia "We need change" na hayo mabadiliko yako upinzani tu.

Next week, huenda Zanu pf ikajiunga ligi ile ya akina KANU, Unip, UPC nk na ccm naye ikibaki ikipigania roho huku wakiwa busy wakinunua wabunge na madiwani njaa make hawana namna.
Hayo ni matokeo ya mjini, vijijini ni wengi bado hawajatangaza. ZANU PF inaweza kushinda kwasababu watu wa vijijini hawajui upinzani ni nini. ,70% ya wazimbabwe wanaishi vijijini
 
Mnangagwa anashinda urais. Tena bila kuchakachua kura. Chamisa anapiga tu kelele. Si mnajua debe tupu! Mugabe uzee unamsumbua. Wanamheshimu tu kwa sababu ni baba wa taifa hilo...
 
Hayo ni matokeo ya mjini, vijijini ni wengi bado hawajatangaza. ZANU PF inaweza kushinda kwasababu watu wa vijijini hawajui upinzani ni nini. ,70% ya wazimbabwe wanaishi vijijini

Kwa stability ya Zimbabwe bora mzoefu Mnangagwa ashinde. Dogo ataleta mparaganyiko. Atumie kipindi hiki cha miaka kumi kujifunza. Chamisa bado muda anao....
 
hahaaa aiseee" kwahiyo ZANU wanahemea pua"" Ila bado mapema minion" subirini " wenyew mtashangaa"" Binafsi ninapenda ZANU washinde" ili wamkomoe" mugabe""..maana bado mugabe ana nguvu" anaweza kupenyeza watu wake" kule kwenye upinzani" ili aweze kuendelea kuwa na nguvu zaidi na hao Watu watakuwa wanamlinda kimaslahi
 
Hivi unajua kuwa upinzani unasapotiwa na Mugabe? Amewapa endorsement yake.
Mgabe aliyetaka, kumuweka mke wake bila kufuata taratibu za kiutawala!? Hana kabisa 'moral authority' katika kuamua nani awe rais wa Zimbabwe. Hata hivyo, hii haimuondolei heshima yangu kwake kama mtetea haki wa ukweli wa maslahi ya Waafrika toka kipindi cha ukoloni.
====
Anajitafutia vilungu vya polisi na kufungwa jela kwa uhaini(Chamisa)....! Yaani unataka kuongoza nchi ya kidemokrasia inayofuata sheria na utawala bora...! Ila kwenye mchakato wa kupata uongozi huo unatumia njia za kidikteta zisizofuata sheria na si za kiutawala bora...! Kwa vyovyote vile wewe hutufai kuwa kiongozi wetu.Alichokifanya Chamisa ni moja ya vitu ambavyo vimemuondolea uwezo wa kuwa Rais wa kidemokrasia, anayefuata sheria na utawala bora. Hivyo Chamisa hafai kuwa Rais wa Zimbabwe hajatii mamlaka za usimamizi wa uchaguzi !! Wazimbabwe,N.Chamisa hawafai, kamwe hataweza kuwaongoza kidemokrasia, wala kufuata sheria na hataweza kuwaongoza ki-utawala bora. Mmkomesheni, hizo vurugu awapelekee waliomlipa
----
Mugabe's ex-party wins most seats
 
_102788654_zimbabwe_parliament_latest_640-nc.png
 
Back
Top Bottom