Recent content by kilelema

  1. K

    Uozo wa CHADEMA Hadharani

    Tunashukuru kwa taarifa hii ambayo naamini si rasmi hivi kweli chama cha upinzani kiingize vifaa kwa njia za panya??? Inaingia akilini?, Usalama wa Taifa na dola kwa ujumla walikuwa likizo??? Kama walikamata visu fafe wakajitia ni vya CUF 2005 walishindwaje kukamata vifaa vya CHADEMA???? Jamani...
  2. K

    Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

    Hebu nielewesheni Nape alizungumzia wapi hili? Lini na katika jukwaa lipi?? Kama ni kweli huyu hatufai na mimi nasema nitaenda Moshi kumlaki na aeleze umma wa Wachaga alikuwa anamaanisha nini
  3. K

    Judgment Day: May 21, 2011 (Really?)

    Huyo bwana ana matatizo ya kisaikolojia, kama alitabir 1994 ikashindikana leo tutamwamini vipi??? Na hiyo dini gani au mwenzetu anasoma biblia au quoran gani???? Naomba ikifika 22/Mei akamatwe na kufungwa maana anatishia watu maisha. Mungu anasema hamjui saa wala muda atakaokuja bwana Yesu.
  4. K

    JK ni kweli kazaa na mtoto wa ROSTAM?

    tetesi ni nini? Hqtuwezi kuchangia tetesi we uliyesikia kwa nini aliyekuambia hakukueleza mtoto na mama walipo??? Afterall that is private life na dini ya JK inamruhusu unless ni under 18. Kwani Rostam kama baba kalalamika?????
  5. K

    Chiligati apasua mafisadi CCM asema Mwakani mwisho wa mafisadi dagaa

    jamani jamani CCM mwogopeni Mungu na mjue Mungu hata siku moja halewi yaani mnapambana na mafisadi wakati rais na mwenyekiti wa CCM na mkewe wanawanadi mafisadi?? We Chiligati na Nape mbona mwapambana na ukuta?? Mmetumwa au mnataka mtolewe kafara??? Na wewe Chilly sause mbona watu unaowahutubia...
  6. K

    Jengo walilopanga CHADEMA kama Ofisi, Mtaa wa Ufipa Kinondoni ni la Nani na kodi yake ni kiasi gani?

    HUyu haielewi ofisi ya CHADEMA na naamini uelewa wake ni mdogo sana. Ofisi ile ni nzuri na very spacious kwa chama kinachokuwa. Wanaenda na wakati na wana majengo mawili na kila moja lina ofisi 6 na uwanja mkubwa unaotumika kwa mikutano. Hivyo unaposema ni ofisi ya Saccos huwatendei haki. Naomba...
Back
Top Bottom