Recent content by kilele pori

  1. kilele pori

    Netanyahu: Walioua wanajeshi watakiona

    Hezbollah 'attack site' near Shebaa Farms identified 18 minutes ago Israel says it has received a message from Lebanese militant group Hezbollah saying it does not want a further escalation after border clashes on Wednesday that killed three people. Defence Minister Moshe Yaalon said the message...
  2. kilele pori

    Netanyahu: Walioua wanajeshi watakiona

    Yom Kippur nyingine inanukia mtafyata wote, Na hivo vimisaada mnavyoletewaga huku vitakata soon!! Go Israel
  3. kilele pori

    Mgogoro wa Israel na Iran

    Itajibu tu taarifa kwenye mitandao , Na kutishia kama no wanaume Kweli wajaribu kama Tehran haijawa leveled in a second.
  4. kilele pori

    CHADEMA Yalaani kufukuzwa Chuoni Waziri Mkuu wa serikali ya wanafunzi Philipo Mwakibinga

    Ndio matunda ya viongoz wakuu wa vyuo kuteuliwa Na wanasiasa wanawatekeleza matakwa ya mabwana zao, wakati wa kuwang'oa umetimia hawawezi kukwepa hiki kikombe. Makamanda mpambane tuko pamoja, pole I sana kwa waliopatwa Na misiba Na masaibu yote.
  5. kilele pori

    Wazee wa Dar es Salaam ni akina nani?

    Huo ndio uwezo wake hawezi ongea Na Wanahabari maana watampiga maswali magumu au la Rweyemamu atawaalika wale uhuru tu Na kuwapangia cha kuuliza , hawezi pia kuongea na Intellectuals pale Mlimani au pengine maana anajua wataona chenga zake na hawatompgia makofi huko anajua kuwa lobby tu wampe...
  6. kilele pori

    Marejesho ya HESLB yana riba?

    Kuchelewa una maanisha mda gani Na iyo penalty Ni % ngapii?
  7. kilele pori

    Marejesho ya HESLB yana riba?

    Sasa unaanza kuja vizuri, kwa sisi wa nyuma kidogo icho kipengele cha 6% hakikuwepo labda sasa waseme wazi kua kinafanya kazi kwa wanufaika wote na sio kupachika tu kwenye deni bila mawasiliano rasmi.
  8. kilele pori

    Marejesho ya HESLB yana riba?

    Mheshimiwa Nyakageni hakuna aliekataa kulipa hoja ya msingi wana kokotoa vipi hizo outstanding loans ? Mbona panakua Na tofauti kubwa sana unapoangalia deni lako kwa tofauti ya mwaka Na madeni yanatofautianeje kwa watu waliosoma course moja Na wana scale sawa ya mshahara? Msaada kwenye hili tuta...
  9. kilele pori

    Marejesho ya HESLB yana riba?

    Kwa Barua sina na zile document nilishazipoteza ila zilikua kwa office zao kanda , sasa pa kushangaza mkuu@Meandu hata tuliosoma course na mwajiri mmoja Na mshahara sawa bado kuna tofauti Na Mimi ndio udadisi wangu unapoanzia, icho kikokoteo chao kimoja Na kinaangalia vitu gani??
  10. kilele pori

    Marejesho ya HESLB yana riba?

    Habarini wana jamvi!! Mimi kwa mda sasa nashindwa kuwaelewa Bodi ya mikopo ya Elimu (HESLB) kwa upande wa Loans repayment kwa wanufaika wote. Moja hii mikopo ina riba au haina, pili inakuaje mtu unapoangalia deni lako (outstanding loan) linakua linatofautiana Mara kwa mara mfano Mimi mwaka jana...
  11. kilele pori

    Scientist International Organization

    kilichopo nikufatilia kama kuna ofisi zao naKUPATA UHAKIKA
  12. kilele pori

    Naona Dalili za CCM kubadili mgombea Chalinze

    CCM ni madalali wa mali za nchi hii, huyu nae anataka dalali kama baba ake.
  13. kilele pori

    Mjumbe wa Katiba Bi Maria Saungi Tseshai

    nimemkubali kwasababu anatuwezesha watu wa mitandaoni kupata live update esp. through her tweets. Kazi nzuri mudada.
  14. kilele pori

    Kung'ara na Kuanguka kwa Mhe. Zitto Kabwe -Cover Final Designed

    unasumbuliwa na mfadhaiko, mwone tabibu kwa ushauri na matibabu ya afya ya akili yako.
Back
Top Bottom