Netanyahu: Walioua wanajeshi watakiona

Netanyahu: Walioua wanajeshi watakiona

Yom Kippur nyingine inanukia mtafyata wote, Na hivo vimisaada mnavyoletewaga huku vitakata soon!!
Go Israel
 
Timbwilitimbwili likianza hao waarab hujificha hadi kwenye madarasa ya watoto wa shule wakiamin ndo ngao yao lakin kwa muisrael yeye haangalii bali hutifua tu na hapo ndo utasikia sauti za haohao waarab wakililia jumuiya ya kimataifa kuingilia kati eti watoto na akina mama wanauwawa!
dogo hebu msikie waziri wa majeshi wa Israel anasema nini sio wewe kichaa;

[TD="class: arttitle"]Ya'alon: Hezbollah Doesn't Need Tunnels to Infiltrate Israel
[/TD]

[TD="class: artbody"]Local Editor[/TD]

[TD="class: artbody"]Israeli defense Minister Moshe Ya'alon considered that Hezbollah doesn't need tunnels to infiltrate ‘Israel', saying the case on the borders with Lebanon is different from that in Gaza.
Moshe_Yaalon.jpg
"Israelis concerned that Hezbollah is digging underground tunnels into Israel in order to carry out Hamas-style attacks on Israeli civilians can relax – at least for now," Ya'alon said, adding "We have been examining every single complaint by residents of the north who say they hear construction and drilling sounds underground, and so far we have found nothing. But if Hezbollah wants to infiltrate Israel, they don't need tunnels."
The Israeli occupation forces said Thursday that it had resumed examinations of areas of occupied northern Palestine where people complained of hearing underground noises – some of which were very loud, and sounded very much like the sound of heavy drilling.
"Hezbollah has other tactics to drag Israel into a war", Ya'alon said – "one of which was evident in Wednesday's attack."
"Hezbollah claims that this was a 'revenge' attack, and now that they have had their revenge things will calm down," he said. "But the reason for the IDF strike on Mughniyeh and Tabtabai was because they were preparing to set up a terror front on the Golan. That shows that they were preparing to increase tensions, possibly leading to war, before there was a need for this 'revenge.'" Ya’alon: Hezbollah Doesn’t Need Tunnels to Infiltrate Israel
[/TD]
 
Kutoka babakamma ndani Ya Talmud nimesahau no Ya mstari waisrael wanasema hivi "all Gentiles are non human animals "
😄😄😄😄😆😆😆😆
 
Umma wa Kiislam ukiongozwa na Waarabu, Mungu amewanyima akili za ugunduzi, waarabu mpaka leo pamoja kwamba wamekuwepo tangu enzi za Ibrahim, lakini hata technolijia ya kutengeneza sindano hawana, wakati kaka yao Muisrael kagundua vitu kibao. Ndio maana utaona hapa Umma wa Kiislam wako inferior kiasi kwamba hata wakifanikiwa kuua muisrael mmoja dunia nzima itajua, hata hapa JF, jana nimeona eti watu wanaandamana Beirut kujipongeza kwa kuuawa kwa Waisrael 2. Poleni sana, endeleeni kumuomba Allah wenu ambae anasema hakuna Mungu isipokuwa yeye

Kicha wew umetutukana paka sisi wafrika
 
Kutoka babakamma ndani Ya Talmud nimesahau no Ya mstari waisrael wanasema hivi "all Gentiles are non human animals "
😄😄😄😄😆😆😆😆

Hezbollah 'attack site' near Shebaa Farms identified
18 minutes ago
Israel says it has received a message from Lebanese militant group Hezbollah saying it does not want a further escalation after border clashes on Wednesday that killed three people.
Defence Minister Moshe Yaalon said the message was passed by the UN mission, but Israeli troops remained "prepared".
Wednesday's cross-border violence erupted when Israeli military vehicles were struck by anti-tank missiles near Mount Dov, in the Shebaa Farms area, a tract of land where the borders of Israel, Lebanon and Syria meet.
Orla Guerin reports from a vantage point overlooking Shebaa farms.
Read more
Hezbollah 'sends anti-escalation message' to Israel

Source:BBC World
 
Mungu ibariki Israel, Mungu m'bariki Netanyahu.
 
Israel anaomba UN waingilie kusimamisha vita kati yake na Hezbollah, Natanyahau kazidiwa jamani.
DOGO acha uongo ungetafuta maana kwanza ya hicho Kikundi cha Hezbollah na kazi zake
NI MWAKA GANI ISRAEL alizidiwa na PALESTINA
ww changanya na Historia tangu 1947
weka 1967
weka Vita vya Mlima Sinai
vita vya Milima ya Golan
sijawahi sikia Hadithi ya Hezbollah kusimama kidume
subiri hiyo idadi ya askari Wawili waliouawa na majibu yake ni wangapi watapotea huko Palestina (Hezbollah)

Hezbollah finances its terrorism using a sophisticated drug-trafficking operation and continues to profit from its drug sales despite the world's objections.
Hezbollah primarily earns its profits through drug sales in Latin America, but its activities have been traced across multiple continents. The group combines its drug profits with proceeds from legitimate used-car sales in West Africa.
Hezbollah originated within the Shia block of Lebanon society. According to a United States Central Intelligence Agency estimate, Shias comprise 41 percent of Lebanon's population,[SUP][1][/SUP] predominating in three areas of Lebanon: the South, Beirut and its environs and the northern Beqaa valley and Hermel region.[SUP][2][/SUP]
Lebanon gained its independence on November 22, 1943, with the French army withdrawing its soldiers from Lebanon in 1946.
History of Hezbollah - Wikipedia, the free encyclopedia
 
DOGO acha uongo ungetafuta maana kwanza ya hicho Kikundi cha Hezbollah na kazi zake
NI MWAKA GANI ISRAEL alizidiwa na PALESTINA
ww changanya na Historia tangu 1947
weka 1967
weka Vita vya Mlima Sinai
vita vya Milima ya Golan
sijawahi sikia Hadithi ya Hezbollah kusimama kidume
subiri hiyo idadi ya askari Wawili waliouawa na majibu yake ni wangapi watapotea huko Palestina (Hezbollah)


Hezbollah originated within the Shia block of Lebanon society. According to a United States Central Intelligence Agency estimate, Shias comprise 41 percent of Lebanon's population,[SUP][1][/SUP] predominating in three areas of Lebanon: the South, Beirut and its environs and the northern Beqaa valley and Hermel region.[SUP][2][/SUP]
Lebanon gained its independence on November 22, 1943, with the French army withdrawing its soldiers from Lebanon in 1946.
History of Hezbollah - Wikipedia, the free encyclopedia
dogo hivi umeongea kitu gani hapo, kwanza nani muongo mimi au wewe? Hezbollah unaijua history yake wewe au unafata waisrael wanavyo kudanganya. Wacha kufata Wikipedia ni propaganda za Israel kwenye google. Hebu soma kidogo BBC wamebahatisha ujuwe ukweli wa Hezbollah. BBC News - Who are Hezbollah?
 
DOGO acha uongo ungetafuta maana kwanza ya hicho Kikundi cha Hezbollah na kazi zake
NI MWAKA GANI ISRAEL alizidiwa na PALESTINA
ww changanya na Historia tangu 1947
weka 1967
weka Vita vya Mlima Sinai
vita vya Milima ya Golan
sijawahi sikia Hadithi ya Hezbollah kusimama kidume
subiri hiyo idadi ya askari Wawili waliouawa na majibu yake ni wangapi watapotea huko Palestina (Hezbollah)


Hezbollah originated within the Shia block of Lebanon society. According to a United States Central Intelligence Agency estimate, Shias comprise 41 percent of Lebanon's population,[SUP][1][/SUP] predominating in three areas of Lebanon: the South, Beirut and its environs and the northern Beqaa valley and Hermel region.[SUP][2][/SUP]
Lebanon gained its independence on November 22, 1943, with the French army withdrawing its soldiers from Lebanon in 1946.
History of Hezbollah - Wikipedia, the free encyclopedia
Achana na hizo Wikipedia soma hii...

Askari kadhaa wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameangamizwa na kujeruhiwa katika operesheni iliyofanywa jana na wanamapambano wa Hizbullah dhidi ya vikosi vya doria vya jeshi la utawala huo ghasibu katika mashamba yanayokaliwa kwa mabavu ya Shab’aa huko kusini mwa Lebanon. Jeshi la Israel limekiri pia kuwa gari lake moja la deraya limeshambuliwa kwa kombora katika eneo linalolikalia kwa mabavu la Ghajar karibu na utepe wa mpaka wa Lebanon. Baada ya shambulio lililofanywa siku kumi zilizopita na jeshi la Israel dhidi ya kikosi cha doria cha Hizbullah kusini mwa Syria, harakati hiyo ya muqawama ilitangaza kuwa baada ya muda mfupi itajibu uchokozi huo uliofanywa na utawala wa Kizayuni. Kwa hakika operesheni kali ya kijeshi iliyofanywa jana na Hizbullah dhidi ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni ni jibu kwa uchokozi na uvamizi wa utawala huo hususan kitendo chake cha hivi karibuni cha kuwashambulia wanamapambano wa muqawama katika eneo la Qunaitira lililoko kwenye miinuko ya Golan ya Syria. Tarehe 18 ya mwezi huu wa Januari ndege za jeshi la utawala wa Kizayuni zilishambulia kwa makombora kitongoji hicho cha Qunaitira huko kusini mwa Syria na kuwaua shahidi wanamapambano sita wa Hizbullah akiwemo Jihad Mughniya, mwana wa shahidi Imad Mughniya mmoja wa makamanda wakuu wa Hizbullah. Hakuna shaka yoyote kuwa kipigo cha shambulio la kijeshi ilichotoa Hizbullah katika medani ya vita dhidi ya askari wa utawala wa Kizayuni kimedhihirisha kwa mara nyengine tena nguvu na uwezo wa harakati hiyo ya wananchi ambayo siku zote imesimama kuwa ngao na ngome imara dhidi ya uvamizi wa utawala wa Kizayuni katika ardhi ya Lebanon na eneo zima la Mashariki ya Kati. Hapana shaka yoyote kuwa kutokana na muqawama wake wa kishujaa, Hizbullah ya Lebanon imeweza mara kadhaa kuuendesha mchakamchaka na kuupa kipigo cha kufedhehesha utawala wa Kizayuni wa Israel kiasi kwamba kwa muda mrefu baada ya kuandamwa na vipigo hivyo viongozi wa utawala huo haramu hubaki katika hali ya mshtuko, wahaka na hamaniko. Kuupa kipigo utawala wa Kizayuni cha kuufanya hatimaye ulazimike kuondoka kwa madhila mwaka 2000 katika sehemu kubwa ya maeneo ya kusini mwa Lebanon uliyokuwa umeyavamia na kuyakalia kwa mabavu, na kukabiliana nao kimuqawama pia na kuufanya ushindwe kufikia malengo yake katika vita vya siku 33 dhidi ya kusini mwa Lebanon mnamo mwaka 2006 ni miongoni mwa mafanikio makubwa iliyopata Hizbullah katika medani ya mapambano ya kulinda ardhi ya Lebanon dhidi ya wavamizi wa Kizayuni. Operesheni kali ya shambulio lililotekelezwa jana na Hizbullah imefikisha ujumbe kwa Wazayuni kwamba uchokozi na uvamizi wa utawala huo ghasibu dhidi ya vikosi vya muqawama katika eneo hautoachwa bila ya jibu, bali moto wa ghadhabu za muqawama wa wananchi wa Lebanon utazidi kuuwakia na kuutambalia utawala huo habithi na mtenda jinai. Operesheni ya mafanikio ya shambulio lililofanywa na Hizbullah inathibitisha ukweli huu, kwamba muqawama dhidi ya Uzayuni katika eneo hili hautojisahau na kughafilika hata kwa lahadha ndogo katika kusimama imara kukabiliana na utawala ghasibu unaoikalia kwa mabavu Quds Tukufu, bali utaendelea na operesheni zake za kishujaa na kutoa vipigo vikali zaidi kwa utawala haramu wa Israel…
 
dogo hebu msikie waziri wa majeshi wa Israel anasema nini sio wewe kichaa;

[TD="class: arttitle"]Ya’alon: Hezbollah Doesn’t Need Tunnels to Infiltrate Israel
[/TD]

[TD="class: artbody"]Local Editor[/TD]

[TD="class: artbody"]Israeli defense Minister Moshe Ya’alon considered that Hezbollah doesn’t need tunnels to infiltrate ‘Israel’, saying the case on the borders with Lebanon is different from that in Gaza.
Moshe_Yaalon.jpg
“Israelis concerned that Hezbollah is digging underground tunnels into Israel in order to carry out Hamas-style attacks on Israeli civilians can relax – at least for now,” Ya'alon said, adding “We have been examining every single complaint by residents of the north who say they hear construction and drilling sounds underground, and so far we have found nothing. But if Hezbollah wants to infiltrate Israel, they don't need tunnels.”
The Israeli occupation forces said Thursday that it had resumed examinations of areas of occupied northern Palestine where people complained of hearing underground noises – some of which were very loud, and sounded very much like the sound of heavy drilling.
“Hezbollah has other tactics to drag Israel into a war”, Ya'alon said – “one of which was evident in Wednesday's attack.”
“Hezbollah claims that this was a 'revenge' attack, and now that they have had their revenge things will calm down,” he said. “But the reason for the IDF strike on Mughniyeh and Tabtabai was because they were preparing to set up a terror front on the Golan. That shows that they were preparing to increase tensions, possibly leading to war, before there was a need for this 'revenge.'” Ya’alon: Hezbollah Doesn’t Need Tunnels to Infiltrate Israel
[/TD]

Naona we dogo umeng'ang'ana na huyo waziri wa jeshi unajifanya hapo juu kwenye mada hujaona PM ambaye ndo bosi kasema nini, mfano AG werema alisema kura ya maoni katiba mpya ni mwezi march lakin president kikwete akasema ni april, kwa mtu mwenye viakili kama wewe atakomaa na kauli ya werema lakin kwa mtu mwenye akili za maana atampuuza werema na kuchukua kauli ya jk
 
Umekaa ukafikiri na ukaandika sasa tuambie source ya habari yako hii ni wapi??? Maana niwajuavyo huwa hamzitambui source zote za nchi za west na Israel sasa wewe source ya habari yako hujaandika au ni Iran au....wakati huohuo rafiki zenu Hizbula wanampigia magoti Israel wasichapwe. http://www.haaretz.com/news/diplomacy-defense/1.639670
Achana na hizo Wikipedia soma hii...

Askari kadhaa wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameangamizwa na kujeruhiwa katika operesheni iliyofanywa jana na wanamapambano wa Hizbullah dhidi ya vikosi vya doria vya jeshi la utawala huo ghasibu katika mashamba yanayokaliwa kwa mabavu ya Shab'aa huko kusini mwa Lebanon. Jeshi la Israel limekiri pia kuwa gari lake moja la deraya limeshambuliwa kwa kombora katika eneo linalolikalia kwa mabavu la Ghajar karibu na utepe wa mpaka wa Lebanon. Baada ya shambulio lililofanywa siku kumi zilizopita na jeshi la Israel dhidi ya kikosi cha doria cha Hizbullah kusini mwa Syria, harakati hiyo ya muqawama ilitangaza kuwa baada ya muda mfupi itajibu uchokozi huo uliofanywa na utawala wa Kizayuni. Kwa hakika operesheni kali ya kijeshi iliyofanywa jana na Hizbullah dhidi ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni ni jibu kwa uchokozi na uvamizi wa utawala huo hususan kitendo chake cha hivi karibuni cha kuwashambulia wanamapambano wa muqawama katika eneo la Qunaitira lililoko kwenye miinuko ya Golan ya Syria. Tarehe 18 ya mwezi huu wa Januari ndege za jeshi la utawala wa Kizayuni zilishambulia kwa makombora kitongoji hicho cha Qunaitira huko kusini mwa Syria na kuwaua shahidi wanamapambano sita wa Hizbullah akiwemo Jihad Mughniya, mwana wa shahidi Imad Mughniya mmoja wa makamanda wakuu wa Hizbullah. Hakuna shaka yoyote kuwa kipigo cha shambulio la kijeshi ilichotoa Hizbullah katika medani ya vita dhidi ya askari wa utawala wa Kizayuni kimedhihirisha kwa mara nyengine tena nguvu na uwezo wa harakati hiyo ya wananchi ambayo siku zote imesimama kuwa ngao na ngome imara dhidi ya uvamizi wa utawala wa Kizayuni katika ardhi ya Lebanon na eneo zima la Mashariki ya Kati. Hapana shaka yoyote kuwa kutokana na muqawama wake wa kishujaa, Hizbullah ya Lebanon imeweza mara kadhaa kuuendesha mchakamchaka na kuupa kipigo cha kufedhehesha utawala wa Kizayuni wa Israel kiasi kwamba kwa muda mrefu baada ya kuandamwa na vipigo hivyo viongozi wa utawala huo haramu hubaki katika hali ya mshtuko, wahaka na hamaniko. Kuupa kipigo utawala wa Kizayuni cha kuufanya hatimaye ulazimike kuondoka kwa madhila mwaka 2000 katika sehemu kubwa ya maeneo ya kusini mwa Lebanon uliyokuwa umeyavamia na kuyakalia kwa mabavu, na kukabiliana nao kimuqawama pia na kuufanya ushindwe kufikia malengo yake katika vita vya siku 33 dhidi ya kusini mwa Lebanon mnamo mwaka 2006 ni miongoni mwa mafanikio makubwa iliyopata Hizbullah katika medani ya mapambano ya kulinda ardhi ya Lebanon dhidi ya wavamizi wa Kizayuni. Operesheni kali ya shambulio lililotekelezwa jana na Hizbullah imefikisha ujumbe kwa Wazayuni kwamba uchokozi na uvamizi wa utawala huo ghasibu dhidi ya vikosi vya muqawama katika eneo hautoachwa bila ya jibu, bali moto wa ghadhabu za muqawama wa wananchi wa Lebanon utazidi kuuwakia na kuutambalia utawala huo habithi na mtenda jinai. Operesheni ya mafanikio ya shambulio lililofanywa na Hizbullah inathibitisha ukweli huu, kwamba muqawama dhidi ya Uzayuni katika eneo hili hautojisahau na kughafilika hata kwa lahadha ndogo katika kusimama imara kukabiliana na utawala ghasibu unaoikalia kwa mabavu Quds Tukufu, bali utaendelea na operesheni zake za kishujaa na kutoa vipigo vikali zaidi kwa utawala haramu wa Israel…
 
Naona we dogo umeng'ang'ana na huyo waziri wa jeshi unajifanya hapo juu kwenye mada hujaona PM ambaye ndo bosi kasema nini, mfano AG werema alisema kura ya maoni katiba mpya ni mwezi march lakin president kikwete akasema ni april, kwa mtu mwenye viakili kama wewe atakomaa na kauli ya werema lakin kwa mtu mwenye akili za maana atampuuza werema na kuchukua kauli ya jk
dogo Natanyahau hata subutu kuwapiga Hezbollah, lazima ufahamu dogo nilikuwekea gazeti la Israel kuwa ambassador wa western countries pale Lebanon walienda kumsemesha waziri wa mambo ya nje wa Lebanon kuwa Israel hataki vita na Hezbollah na Hezbollah akajibu ujumbe huo kuwa hata yeye hataki vita, lakini ni nani kaomba kwanza? Hapo nani anaye muogopa mwenzake? Hezbollah au Israel.
 
Hezbula anaomba asichapwe
dogo Natanyahau hata subutu kuwapiga Hezbollah, lazima ufahamu dogo nilikuwekea gazeti la Israel kuwa ambassador wa western countries pale Lebanon walienda kumsemesha waziri wa mambo ya nje wa Lebanon kuwa Israel hataki vita na Hezbollah na Hezbollah akajibu ujumbe huo kuwa hata yeye hataki vita, lakini ni nani kaomba kwanza? Hapo nani anaye muogopa mwenzake? Hezbollah au Israel.
 
Hezbula anaomba asichapwe
Hahaha niki Israel ndio alianza kuomba kwa njia ya UN na wale ma Ambassador wa western pale Lebanon, we huwa unafahamu au hufahamu. Afu toka lini Israel anapenda peace we dogo, Israel ukimpiga lazima ajifanye mwamba hata kama hana nguvu. Lakini kwa Hezbollah kaona moto bora anyamaze.Both sides appear to share an interest in avoiding further escalation.
"Indeed, a message was received," Yaalon said. "There are lines of coordination between us and Lebanon via UNIFIL and such a message was indeed received from Lebanon."
In Beirut, Hezbollah officials could not immediately be reached for comment.
Israel 'receives message of restraint' from Hezbollah - Al Jazeera English

[TD="class: arttitle"]Israel: Hezbollah Enforced by Fire New Military Formula
[/TD]

[TD="class: artbody"][/TD]

[TD="class: artbody"] Edited and Translated by Mohamed Salami

Hezbo
shib3a_3amaliya_28_1_2015.jpg
llah enforced new rules of engagement in light of Shebaa operation and linked the Lebanese and the Syrian fronts by displaying readiness to respond to any Israeli aggression on Lebanon and Syria, according to Zionist political analysts.

Chief of Movement party and former FM Tzipi Livni accused PM Benjamin Netanyahu of harming the Zionist deterrence power as a result of the recent confrontation.

The Zionist political analysts considered that the new military formula which Hezbollah imposed will ban the Israeli army from striking the party's weaponry batches.

The Israeli analysts also reminded of Hezbollah rocketry power which can cause massive destruction in the Zionist entity.

The Israeli army did not respond immediately to Hezbollah operation in the occupied Shebaa Farms because that would have escalated the encounter, the Zionist newspaper, Maariv mentioned. http://www.almanar.com.lb/english/adetails.php?eid=193125&cid=23&fromval=1&frid=23&seccatid=18&s1=1
[/TD]
 
Back
Top Bottom