Lactogen iliyoandikwa kwa lugha ya kiswahili na kingereza hiyo ndio umeruhusiwa kuuzwa Tz kupitia mamlaka za Tz.
Kitu chochote chenye us ajili ndio tuna uhakika na ubora wake na hata kikikudhuru unajua pa kuanzia.
Kuhusu viambata hivyo usivifuatishe mana kama mm na toa kitu fake Nita andika...
Hapa kumsaidia nenda naye shule wakujibu Kwa maandishi Kwa nn wasimpokee huyo mtoto.
Ukifanya masihara kesi inakubadilikia kukaa na binti ambaye anatakiwa akaripoti shule.
Mtego mwingine ni muda wa kuripoti ukiisha nafasi atapewa huyo na uzembe utaonekana n wa mtoto na wazaz
Ndio ...mana kama unafanyiwa mahesabu na mhasipu Kodi unayotakiwa kisheria ulipe ni 30% ya faida Yako baada ya kutoa matumizi yote...
Kwa hiyo wanachofanya wanaongeza matumizi Kwa kusema nyumba wanazoishi ni za kampuni mfano John D asset holding co.ltd. Kwa hiyo Kodi ya pango(withholding tax)...
Kupanga inamfanya alipe TRA kidogo kutokana na mapato yake....Nyumba inaweza ikawa yake LAKINI anakodi kutoka kwenye kampuni yake ya nyumba....kawaida kodi unalipa 30% ya faida...na kodi ya pango TRA wanapokea 10%....kwa hiyo kama faida yako kabla ya pango ni 10,000,000 ina mana TRA unatakiwa...
Uko sawa mkuu, Tanzania hatuna taarifa sahihi za mazao mana mkulima hatunzi kumbukumbu LAKINI pia kodi hailipwi kisahihi. Tatu mkulima hajui bei shindani mana bishara hizi zinafanyika kwa siri, n rahisi mfanyabiashara kutumia lugha kuwa jana tumenunua kg moja kwa tsh 500 tu kijiji cha pili hapo
Ni Kwa vile tu wengi hawajui sheria lakini Hawa kina mama wanaweza kutajurika Kwa kwenda mahakamani kufungua kesi ya jinai kupigwa kuumizwa na shambulio la aibu...Baadae wakishinda jinai wafungue kesi ya madai kudhalilishwa na kuvunjiwa utu mbele ya jamii fidia b7
Ili ufungue maambara unatakiwa uwe na
1. Angalau diploma ya maabara.
Au
2. Kama huna diploma uajiri mwenye diploma ya maabara
Au
3. Kama utashindwa kuajiri utumie cheti cha mwenye diploma kama msimamizi na mmiliki wa maabara hiyo.
4. Pia unatakiwa uajiri ambaye atafanya kazi kila siku, huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.