Recent content by Kilaza Jr

  1. Kilaza Jr

    Rais Samia hautafanikiwa kuipoteza CHADEMA, nakuhakikishia hilo

    Chadema kinajimaliza chenyewe sana mtu kama Mdude naye ni sehemu yenu mnategemea nini hapo ? Dkt Slaa arudi kuokoa jahazi maana linakwenda kuzama
  2. Kilaza Jr

    Huhitaji nguvu nyingi kumchanganya 'Single mama', fanya yafuatayo

    Kwenye mtoto kama ana katoto ka kiume basi hapo inabidi utembee n gia za kina Ben ten, spider man, batman ,yani ukapambe katoto kajione yeye ndio kakamanda yani. Tena uwe unakapa misheni ndogo ndogo ndani ya nyumba yani kakifanikisha kanajiona kakomandoo basi lazima awe anakutaja taja yani .
  3. Kilaza Jr

    Uwapi "wembe wa Mdude uliotumika kumnyoa Mwendazake" ambao Samia Alitishiwa nao majuzi?

    Kuna mahali nimsema kuwa kuiga ni kosa ? Ukiiga ubunifu wako nao unatakiwa sio unaiga kitu ambacho kwenye mazingira yako kinakuwa hakina tija sana . Katiba sio ajenda kubwa kwa wananchi wao wanapoteza muda na kuushusha ushawishi wao . Utake iko hivyo usitake itakuwa hivyo.
  4. Kilaza Jr

    Uwapi "wembe wa Mdude uliotumika kumnyoa Mwendazake" ambao Samia Alitishiwa nao majuzi?

    Wafanye tafiti wajue ajenda gani itawagusa watanzania wengi kwa uchanya wake
  5. Kilaza Jr

    Uwapi "wembe wa Mdude uliotumika kumnyoa Mwendazake" ambao Samia Alitishiwa nao majuzi?

    Chama chochote kinapokuja na Ajenda lazima iwe na faida kwao kuliko hasara hasa kwa kupata ushawishi toka katika jamii. Hoja ya katiba Chadema wamefelu pakubwa sio hitaji mguso la wananchi wengi kwa sasa ndio maana wananchi wanawapuuza wanajihutubia wao kama wao tu .
  6. Kilaza Jr

    Uwapi "wembe wa Mdude uliotumika kumnyoa Mwendazake" ambao Samia Alitishiwa nao majuzi?

    Shida kubw inayoikumba chadema kwa sasa ni mipango yao mibovu wameiga mavazi ya EFF wameshindwa kuiga mfumo wao . Wao wameshika ajenda isiyokuwa na nguvu kwa Watanzania KATIBA . Watafute ajenda zenye tija
  7. Kilaza Jr

    Waziri wa sasa wa fedha wa Tanzania ana exposure gani kwenye uchumi?

    Nadhani ni wakati Profesa Ibrahimu Lipumba kuokoa jahazi sasa .
  8. Kilaza Jr

    Je, wajua kwamba Katiba hii mbovu inamruhusu Rais kuteua Watu wa familia yake kushika vyeo mbalimbali?

    Roho mbaya inakusumbua sasa kama wana sifa zinatakiwa wasipewe kisa wanaudugu na Rais au Kiongozi husika . SISI TUNA WATU
  9. Kilaza Jr

    Case study kuhusiana na mjadala wa Katiba Mpya

    Katiba sio kipaumbele cha wanannchi walio wengi wa Tanzania . Kama wao wanataka katiba mpya waunde ya kwao na waitumie wao kama wao .
  10. Kilaza Jr

    Ally Bananga: Mdude Nyagali anatakiwa kupumzika kwanza, kumpatia kipaza sauti mapema sioni tukimpenda na kumsaidia

    Mdude hadi sasa ameshapunguza wanachadema zaidi ya elfu moja kwa maneno yake aliyoyatoa na anayoendelea kuyatoa na wasipokuwa makini watapoteza wengi sana . Maana Jk ndio Master mind kwa sasa hivyo kimya kimya
  11. Kilaza Jr

    Nimefukuzwa kazi kisa nimekula chakula cha boss, inauma sana

    Huyo Huyo aliyekusababishia ndio mtumie akatulize moto yani ifike mahali atafute rafiki yake wa kike awe demu wako yeye ni Shem wako .
  12. Kilaza Jr

    Ni sehemu gani nzuri ya Kuficha 'Pochi' yako Chumbani 'Gesti' ukiwa umemnunua 'Malaya' wa Kulala nae hadi Asubuhi ili asikuibie?

    Japo kitaalamu inabidi wewe ndio uwe wa kwanza kufika eneo la tukio mapema kabla yake ili ufanye situational awareness kuwa wapi na wapi pa kuweka viti vyako mapema sana . Ila kama unahisi unacheza gemu na gaidi sana basi unakuwa na pochi mbili tu Moja bosheni isiyo kuwa na madhara sana na...
  13. Kilaza Jr

    Julia Nyerere: Vitu ambayo vimenisaidia kuishi Tanzania baada ya kuishi Marekani kwa miaka 21

    Nasisitiza kuwa tumepigwa awe anajishaua wala hajishaui ila tumepigwa atumie jina la baba yake ila sio la babu yake . Tulinde legacy ya Nyerere kwa nguvu zote .😁😁😁
  14. Kilaza Jr

    Julia Nyerere: Vitu ambayo vimenisaidia kuishi Tanzania baada ya kuishi Marekani kwa miaka 21

    Wananchi huyu Mjukuu wa Nyerere tumepigwa huyu . Kametumwa kuharibu legacy ya Nyerere huyu tukemee kwa nguvu zote haiwezekani yani .
  15. Kilaza Jr

    Upo vizuri kwenye kitu gani hasa?

    Yani ningekuwa wa kike huenda wangesema labda nina chekelea . Tabasamu ni dawa Let smile .
Back
Top Bottom