Recent content by kilangop

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wazee wa CHADEMA wakutana na Dr. Slaa leo

    Mhhhhh hao sio wazee wa chedema kama mtoa mada alivyojaribu kutuaminisha.....hiyo picha ni ya siku nyingi mno.....wawili kati yao ni madiwani wa karatu kwa kata ya karatu mjini(bwn Jublet Mnyenye) mwenye ndevu nyingi mwingine ni bwn Lazaro Titus diwani kata ya ganako na mwenyekiti wa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Dk. Milton Makongoro Mahanga atangaza rasmi kujiunga CHADEMA

    Hakuna hata chanzo cha taarifa? Basi hata picha wakati anatangaza hilo
  3. K

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Leo ndo kura za maoni
  4. K

    JamiiForums Tanzania IGUNGA - Bila Mwl. Kashindye CHADEMA inajichimbia KABURI

    Ni bora ukasubiri kura kwanza......wasiwasi wako usije ukawa ni uchochezi hasa kwa kauli eti wanachadema hawatakuwa tayari kumpigia kura mtu mwingine tofauti na mwl Kashindye.....hii inamaanisha sio wasiwasi wako.......ni swala ambalo mmeshakaa vikao vyenu mkaamua hamtakua tayari kumpigia mtu...
  5. K

    JamiiForums Tanzania IGUNGA - Bila Mwl. Kashindye CHADEMA inajichimbia KABURI

    Amekijenga chama .....sawa tunakubali kama usemavyo......ila kama ameshiriki kura za maoni na akishindwa,kama mwanademokrasia hana budi kukubaliana na matokeo..........jaribu kujiuliza kama wote waliopigania vyama ndo wapewe nafasi za kiuongozi kisa tu walikijenga kungekuwa na migogoro mingi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mkopo wa HESLB na jinsi ya kuomba chuo kwa wenye Diploma.

    Mwisho wenyewe wa kuapply leo kwa wale wenye equivalent wualification bt kama ni hawa waombaji wapya from school mpaka august 15
  7. K

    JamiiForums Tanzania Lembeli: Nikikatwa jina, nitahamia chama kingine

    Kwani imekuwaje wadau? Ameshatangaza rasmi?
  8. K

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    Ukifika Mahenge Umefika kwiro ni buku tu kwa bodaboda.....taxi ipo ila ni moja.....kama hutojali mguu pia unafika.....ni ka mji kadogo sana.....haipo ndani ndani......
  9. K

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    Dar to mahenge ni 25000 kwa basi la kidinilo.....moro to mahenge ni 20000 ukitoka asubuhi moro na basi la babu ally utafika saa tisa kama halijaharibika coz barabara ni mbovu mno from kidatu ni vumbi tupu hakuna lami.....ukisubiri kidilo inayotoka dar utafika kumi na moja jioni.......ajipange...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Line za wakala zinauzwa unapata na logbook yake

    AK 1 wewe upo mkoa gani coz nasikia zinafanya kazi kikanda na kuihamisha kanda/mkoa inasumbua kiaina
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kibonzo kinachosema ukweli kati ya Chadema na Shibuda!

    Hilo linajulikana .......lipo wazi muda mrefu sana sema tu hawa cdm wametulia wanafanya yao hawataki kuhangaishana nae
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Friday Night Live (FNL) cha EATV kinavunja Maadili

    Yule hana hata aibu yaani
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Friday Night Live (FNL) cha EATV kinavunja Maadili

    Mhhhhhh kama ndo ivi tcra wafanye yao tu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wiliiam M Ngeleja Kutangaza nia tarehe 04/06/2015

    Mpambanaji wa nini?..... amewahi kupigania nini hasa?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu CHADEMA kutikisa nchi leo na kesho

    Kwani sisiem wapo bungeni? Mbona waiongelea chadema tu ilhali jana bajeti imepitishwa na wabunge 68 tu kati ya mia tatu na zaidi......ushabiki usio na mipaka huo
Back
Top Bottom