Msaada kuhusu mkopo wa HESLB na jinsi ya kuomba chuo kwa wenye Diploma.

nampendayeye

Senior Member
Mar 24, 2015
125
71
Ndugu zangu naomba msaada wenu. Kwa mtu mwenye diploma ya nursing na anazo minimum requirements yaani ana grade B na anataka kwenda bachelor ya nursing, je anaanzia NACTE before kuomba TCU au anaomba moja kwa moja TCU? Na kama ni moja kwa moja TCU watapataje data zake wakati hakuna kuambatanisha vyeti(mfano wale wa ACSEE ni rahisi kuretrive NECTA). Alafu vipi kuhusu bodi ya mikopo anaweza kupewa mkopo?
 
Mwisho wenyewe wa kuapply leo kwa wale wenye equivalent wualification bt kama ni hawa waombaji wapya from school mpaka august 15
 
Back
Top Bottom