Recent content by Kilamia

  1. K

    Who is INDO Power Solutions na ni nani Bw. Brian Mutembei?

    raw cashew prices in the global market were about US$2,100 – US$2,150 per tonne by Jan last year
  2. K

    Kosea vyote lakini siyo mtu wa kuoa ama kuolewa naye

    Makosa hayo madogo sana na yanaweza kurekebishwa mkikaa na kuzungumza taratibu. Epuka kuweka wazi upungufu wa mwenza wako.
  3. K

    Wanaume wa Dar wanapotaka kufanya mapenzi wanakuwa na viungo kama wanapika pilau

    Tutake radhi halafu nilengeshee dada yako aje kukusimulia
  4. K

    Vichwa vya treni vilivyotupwa Dar, kutumika kwenye SGR ya Tanzania

    Mwenyewe hatajwi popote. Ni bahati mbaya ama makusudi?
  5. K

    Wasichana na promo za "nasoma chuo"

    Nawe nae? Si ungemnaniliu tu badala ya kumuumbua?
  6. K

    Nauza Suzuki Escudo

    Ukubwa wa engine tafadhali
  7. K

    'Single mothers' wana tabia ya kubadili gia angani

    Sasa wewe umetuhumu na kuhukumu halafu unaomba ushauri? Ondoa hizo tuhuma kwanza na usihukumu halafu ndio ushauriwe. Ni vigumu kwa hali hiyo ukashauriwa na kukubali
  8. K

    Ladies, what do you wear in bed?

    Number 8 is my favourate, (my First Lady's style) but I understand it depends on weather. She wouldn't do that in Mufindi BY DAYAN MASINDE 1. “Lady in a long vest” This lady loves her sleep, the long vest allows her to wear no panty thus giving her fresh air. She allows the beautiful area...
  9. K

    Mpaka mwanamke anaamua kuchepuka, ujue kuna shida kwa mumewe

    Pamoja na yote ni suala la kumuomba MUNGU akujalie kuwa mume bora ama mke bora kwa kuwa hili ni zaidi ya upeo wetu wa utambuzi. Ndoa njema hupatikana kwa neema tu na wala si kwa jitihada zetu wenyewe. Katika neema hii basi jitihada zetu zitabarikiwa zilete matunda mema yale yanayokusudiwa.
  10. K

    Mpaka mwanamke anaamua kuchepuka, ujue kuna shida kwa mumewe

    [Pamoja na yote ni suala la kumuomba MUNGU akujalie kuwa mume bora ama mke bora kwa kuwa hili ni zaidi ya upeo wetu wa utambuzi. Ndoa njema hupatikana kwa neema tu na wala si kwa jitihada zetu wenyewe. Katika neema hii basi jitihada zetu zitabarikiwa zilete matunda mema yale yanayokusudiwa...
  11. K

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Waungwana, Nimepewa kazi ya kuandika faida za kiuchumi za Muungano kwa pande zote mbili. Tafadhali naomba tujuzane
  12. K

    Gharama za safari za Rais nje ya nchi

    Wanajamvi kuna yeyote anayeweza kunipa japo kwa makadirio gharama za safari moja ya Rais nje ya nchi kama ya Ulaya hivi ama Amerika?
  13. K

    Maumivu makali

    Wengine humu ni pasua kichwa
  14. K

    Huyu Bi Mkubwa Alitumia Staili Hii Kufanya Usafi

    Acheni hizo. Mama, shangazi na dada hawanikaliagi hivyo bhana.
Back
Top Bottom