Kwani hizo safari zinakuwa na fixed number ya watu atakaoambatana nao pamoja na muda wa kukaa huko? Mbona swali la ajabu sana hili.Wanajamvi kuna yeyote anayeweza kunipa japo kwa makadirio gharama za safari moja ya Rais nje ya nchi kama ya Ulaya hivi ama Amerika?