Recent content by kilambon

  1. K

    SSC bado hamjajipata , msihadaike na goli 3

    Kwani CEO wa simba ana ubaya gani na ana uzee gani? akili za kiutopolo hizi!! Kwani huyo wa nyuma mwiko ni kijana!!
  2. K

    Tenzi za rohoni

    Usijihesabie kufahamu kuliko wengine ndugu na kuona wengine hawajui kuomba, kusifu na kuabudu, kumbuka akili ya Mungu haichunguziki!! Mwache mtu aombe Kwa kadri anavyoongozwa na Roho Mtakatifu maana pekee ndie anaweza kutusaidia kuomba! Kwa akili zetu hatuwezi tutaishia kujiona sisi ni bora...
  3. K

    Kesho kazi ipo na Horoya, Friends of Simba naombeni muweke silaha chini, niko chini ya miguu yenu

    Nakufuatilia sana mkuu huna baya... Ila unakera!! [emoji16]
  4. K

    Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

    Huyu binti sijui nani alikuwa mshauri wake!! Hata Kama kweli mzee Mengi aliandika usia ule na kumpatia yeye, angejiongeza kwa kutouonyesha hadharani pengine hata kuuchana angeweza uchana!!! maana kwa mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi muelewa kwa akili za kibinadamu hata kisheria pia!! hakimu...
  5. K

    Tusijidanganye Simba hii ni ya kawaida sana, uongozi unaendeshwa kiujanja ujanja, MO tuachie timu yetu

    Unavyohangaika na Mo!! kama kuku anaetafuta sehemu ya kutagia!! mwana uto mkubwa! ila hongereni kwa kuingia makundi ya walioshindwa!!
  6. K

    Siioni Azam FC iliyo Imara kuifunga Yanga SC iliyokamilika hata kama Tuisila Kisinda hatocheza

    Kabisa, mwenyewe natamani Azam ashinde lakini siioni Azam yakuishinda uto!! Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
  7. K

    Nani zaidi? Simba vs Yanga thread

    Simba ndio club yenye mashabiki wengi mpaka saiv tz., hili halina mjadala. mitandaoni, kwenye vibanda umiza mpaka viwanjani!! Na hili shindano lingekuwa linafanyika simba wapo kwenye ubora wao lingepigwa gap la hatari sana!!! Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
  8. K

    Simba Inahitaji "Msema Utumbo" mmoja, Ahmed hawezi

    Ahmed kamwacha mbali sana bwana yule!! hizi nyingine ni propaganda tu!! mlitegemea simba isipate mtu wa kuweza kuziba nafasi ya white lkn dogo kafukia shimo hadi white mwenyewe haamini anachokiona!! Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
  9. K

    Tukio gani la kimichezo hutolisahau kwa mwaka 2021?

    Penalty ya Feitoto, Yanga vs Namungo!! sielewi hadi leo,je! refa alighafirika au ilikuwa nguvu ya uchumi wa Kati!!
  10. K

    Benchi la Ufundi Simba SC

    Sijui mnahangaika kutafuta kitu gani!!? Jambo limeshafafanuliwa lakini bado tu mnatafuta sababu za kusadikika!!
  11. K

    Simba wasusia kushiriki Mapinduzi Cup

    Utopolo mtupu!!!
  12. K

    Kweli Simba inapigwa vita nimeamini

    Shomari kapombe hawezi kujiangusha kitoto vile!! mchezaji aliyemsukuma amekiri kuwa kweli alimsukuma ila anadai eti hakumsukuma kwa nguvu! DUH! Waandishi, wachambuzi hata wadau wa mpira wengine ni wapenzi wa SIMBA wamekuwa against mwamuzi na simba!! Kisa wanataka ku- balance ile penalty...
  13. K

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Naona msemaji mwendazake anawatia ujinga majirani kuwa watabeba kila kitu msimu huu!!
  14. K

    Mo Dewji na Barbara wam-unfollow Diamond na Manara

    Na nnavyosikia ni kwamba mond kamchukua manara pale wasafi fm, unategemea mo amejisikiaje baada ya kupata taarifa kama hizi? yaani manara ampe utangazaji ofisini kwake unategemea atamuongeleaje mo!! Mo na yeye ni binadamu sometimes inakera!! myonge wamnyonge lakini haki wampe.., na hili la haji...
  15. K

    Taarifa za uhakika nilizonazo Manara ndiye anaihujumu Simba SC kila ikicheza na Yanga SC atimuliwe

    Akiendelea kuwa msemaji wa simba nitakuwa sina furaha na timu yangu tena!!. , kwanza ana majivuno ya kijinga na ya kitoto sana
Back
Top Bottom