Recent content by kilambasahani

  1. K

    Mgaya wa TUCTA aliwekwa mfukoni na JK, aulizwa nini kimemotekea?

    Tz tuna viongozi wachumia matumbo.,tutasubiri Sana kufikia maendeleo tunayotamani.
  2. K

    Sasa Watanzania tuseme CCM basi!

    Looser go to hell!
  3. K

    Serikali ya Kikwete imefilisika rasmi!

    C kweli mbona c mishahara tunalipwa.
  4. K

    Wanademokrasia popote mlipo tembeeni vifua mbele, wahafidhina wameanza sisi tutamaliza kabisa

    Kwani bado yupo cdm huyo mzito wa kabwela? kaanzisha chama gani tusubiri hiyo kampeni yake.,tatizo kafubaishwa na shutuma za kuhusishwa na ccm,,wanaccm ruksa kuhudhuria mikutano yake.
  5. K

    PICHA: Mkutano wa CHADEMA Mbeya

    MKUU kama huna cha kukoment kaa kimya<<hoja yko ni nyepesi mno
  6. K

    Nachukua nafasi hii kuwapongeza wanawake wa Tanzania kwa kuipa kisogo CHADEMA, chama cha kizandiki

    Kwani vita ikitokea unaamini kuna atakayesalimika au unaongea<<kubalini kubadilika na cyo kutisha watu
  7. K

    Nachukua nafasi hii kuwapongeza wanawake wa Tanzania kwa kuipa kisogo CHADEMA, chama cha kizandiki

    mabadiliko kokote yalikotokea hayakuletwa na wanawake kamwe,,they're just house keepers let guys fight changes,,ccm tumewachoka jamani mumedidimiza uchumi,,hospitali madawa hakuna ,shule hazina madawati, umeme bei juu,,hali ya uchumi ni mbaya kwa kila mwananchi..yote ni matokeo ya chama...
  8. K

    Usanii katika Ziara ya Kinana Inayoitwa ya Mafanikio

    Karne hii huwezi igiza vitu vya kipuuzi namna hii au hawa jamaa wanadhani wanatawala karne ya 19 eti shule hazina madawati, hospital madawa hakuna umeme juu umaskini umekithiri hakuna asiyejua yote haya yamesababishwa na serikali ya ccm shame on them
  9. K

    Mbunge Joseph Mbilinyi Sugu mara moja moja acha "UTOTO"

    simple and LOGIC answer mkuu!!
  10. K

    Mbunge Joseph Mbilinyi Sugu mara moja moja acha "UTOTO"

    Sema utumbo sio utombo,, watu wakiamua kubadilika haijalishi wanaemtaka alicheza kamali au hakucheza ana elimu au hana...so muwe tayari kuyapokea
  11. K

    Tanzania iko hoi kifedha, asema CAG

    Hatua mbili mbele nyingi sana! sema hatua moja mbele tisa nyuma,, dadeeki inasikitisha kuwa mtanzania hatuna la kujivunia kimataifa.
  12. K

    Kangi Lugola amlipua Nape,Kinana na Rais Kikwete kuhusu mawaziri mizigo

    wananchi maskini, umeme juu, shule hazina madawati, hospitali madawa hakuna, viongozi wameukana uzalendo wanaenda kutibiwa nje walalahoi tufie kwenye hizi hospital sugu zisizo na madawa..mnaendekeza siasa tu badala ya kujadili uchumi uwe vipi shame o
Back
Top Bottom