Sasa Watanzania tuseme CCM basi!

Sasa Watanzania tuseme CCM basi!

Ccm mko uking'oni mtaondoka tu,mmetuibiwa vya kutosha sasa basi
 
Igeni mfano wa watu wa mbozi magh.hususani mtaa wa mwaka uwanjani m/kiti mtaa,diwani na mbunge wote ni kupitia chama cha cdm ndiyo maana hata mchango wa sec.ktk mtaa we2 2nalipa sh.2500 mitaa walikochagua chama cha mizigo wanalipa sh.10,000 halafu ujenzi hauishi 2badilike!
 
Mbona avatar yako ina rangi ya CCM, wewe kama SLAA vile , kelele nyingi kumbe ana Kadi ya CCM.
Ni kweli mimi nilikuwa CCM sana tu....lakini siyo mzazi wangu ameboa nimemtema hata kama nimebaki na alama zake zitaisha taratibu
 
Hivi ulitaka CCM wakupe maisha gani? Tofautisha kati ya serikali na mume ndugu yangu.
 
Ndug yangu unataka CCM wakuletee unga nyumbani kwako? Kama unategemea hivyo hakuna chama kitakachotekeleza azma yako na ukiendekeza mawazo hayo bora uhamie MOMBASA
 
Ndug yangu unataka CCM wakuletee unga nyumbani kwako? Kama unategemea hivyo hakuna chama kitakachotekeleza azma yako na ukiendekeza mawazo hayo bora uhamie MOMBASA

NasIkIa baba yako kahamia huko hongera mkuu......
 
Hatuna tume huru ya uchaguzi, kuanzia mwenyekiti nawajumbe wote niwateule wa Rais hivyo nimakada wachama cha mspinduzi, kikubwa tupiganie katiba mpya itupatie tume huru yauchaguzi. Ccm ipo madarakani tu kwamatakwa yake tu lakini sio kwamatakwa yawananchi
 
Back
Top Bottom