Recent content by Kilainishi

  1. Kilainishi

    Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

    Sasa akili zenyewe si hizi anazo Sema mwandishi
  2. Kilainishi

    Kabudi na Lukuvi hawapo kwenye mfumo rasmi wa shughuli za serikali. Ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi

    Ukiangalia matamshi na vitendo vya maza utaona matumizi Makubwa ya hisia kuliko akili... Alafu majuto yake baadae #anaingiaga chaka kizembe alaf anafosi kuchomoka kifala.
  3. Kilainishi

    Siwaelewi wanaume wa karne hii

    ANOTHER MALAYA IN TOWN Mungu Saidia ii Kizazi [emoji1487]
  4. Kilainishi

    Kwanini wanawake wanaamini wanaume hatuna haki ya kukataa kufanya nao mapenzi?

    Ke kw asilimia kubwa ua wanaamin mahitaji yao ni ya kupewa kipaumbele dhidi ya mahitaji ya Me. -kitambi cha njaa-
  5. Kilainishi

    Sitokaa nioe: Hawa wanawake tulioambiwa tuishi nao kwa akili hawafai hata kuishi nao

    Mleta Mada ni mwanaume ila ukiangalia wanaume wenzie wanavyomtemea shits ndo unaelewa ni Kw nin awa viumbe KE vinatupelekesha...
  6. Kilainishi

    Wanaume tuache ushamba wa kurekodi video tunapokua faragha!

    Mwanaume unamdangia unategemea akuonee huruma..?... Na Ata izo video zinavochukuliwa sio kwamba awa viumbe hawaoni wanaona sn tu... Tatizo unaanzaje kusema NO kw sponsor..!
  7. Kilainishi

    Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

    Maisha yamekuwa magumu kimtindo,.. Badala watafute michongo wao wamealalisha kudanga km kazi.
  8. Kilainishi

    Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

    Nimesoma thread, nikichogundua Wanawake kwny swala la kummaliza mwanaume wanasapotiana kichizi adi mbinu wanapeana.. Njoo kwetu wanaume Kila mmoja na lake.. Kw staili ii watatuburuza kwelkwel. -Ela ya nauli unatumiwa na hautokei, wewe ni mal@ya au kibaka-
  9. Kilainishi

    Naogopa kwenda kwa rafiki yangu

    Sio kwamba jamaa kazi hawezi ss anatafuta msaidizi na wewe ndio target
  10. Kilainishi

    Unapo-chat na girlfriend wako kwa style hii

    Malaya ni bingwa wa misimamo lakin Ana hisia pia. Uzazi wa mpango
  11. Kilainishi

    Wadada njooni niwape mpya, wakaka msahihishe panapohitaji usahihi

    Kutoipigia hesabu pesa ya mwanamke ni Sawa... Lkn haimaanishi yeye kushindwa kukusaidia pale unapokwama km ana uwezo uo kw sbb hatofanya kw faida yako tu bali nj kw faida yenu pamoja na watoto na iyo ndio maana halisi ya kuwa mume na mke.
Back
Top Bottom