Recent content by kilabuni

  1. kilabuni

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kujengwa ukuta kuzunguka Mererani kulinda madini ya Tanzanite ulifikiwa mwaka 2002, lakini ukawekwa kapuni

    Nikweli Kabisa hili linawezekana maana hata wanaojengewa ukuta nao wanaakili pia
  2. kilabuni

    JamiiForums Tanzania Mjini kuna mambo mambo Zari amdhihaki Hamisa

    Dyuu dyuuu ni balaaa wataligombe sana na kwenye valangati hili mmmoja anaweza kubeba mimba Siku si nyingi hapa.. Ngoja tuone hili movie
  3. kilabuni

    JamiiForums Tanzania Kuzorota uchumi: Stone Block wafungasha virago!

    Kazi ipo
  4. kilabuni

    JamiiForums Tanzania Kuzorota uchumi: Stone Block wafungasha virago!

  5. kilabuni

    JamiiForums Tanzania MOROGORO: Polisi aua watu wawili akijihami

    Hii inapatikana Morogoro pekee
  6. kilabuni

    JamiiForums Tanzania MOROGORO: Polisi aua watu wawili akijihami

  7. kilabuni

    JamiiForums Tanzania Mbasha: Aliyemuoa Flora nampelekea ujumbe huu

    Angenyamaza ingempa heshima sana kuliko kwenda kwenye media anatafuta nini huko Kama sikujishushia heshima yake tu
  8. kilabuni

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane: Historia ya Wahehe wa Iringa

    Dalihe mnyalukolo
  9. kilabuni

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane: Historia ya Wahehe wa Iringa

  10. kilabuni

    JamiiForums Tanzania Waraka wangu kwa viongozi wa dini kuhusu ulevi wa Mzee wa Upako!

    Nikweli Kabisa
  11. kilabuni

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema sasa aitwa Trump

    Duh labda watupe ufafanuzi maana wengine hatujaelewa hapo
  12. kilabuni

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mke wa Rais: Taasisi ya urais imepotoka

    Pale Sewahaji kuna VIP wards kwahiyo siyokweli kuwa alilazwa changanyikeni
  13. kilabuni

    JamiiForums Tanzania Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu

    Kwa mwendo huu ikosiku tutaletewa uzi hapa unaolaumu wizara kua inapendelea makabila fulani lkn Kwa mfumo wa elimu tulionao sijajua kipengele gani kinachopendelea dini yoyote .Minadhani Kama watoto wetu hawafanyi vizuri Katika masomo tujiangalie tatizo liko wapi ??maana Kwa mtazamo huu tunajenga...
  14. kilabuni

    JamiiForums Tanzania Nilimwambia Mkuu wa Mkoa aliyetenguliwa Felix Ntibenda kwamba anatafutwa yeye

    Mbona mnamuogopa sana ???
  15. kilabuni

    JamiiForums Tanzania Deni la taifa kuongezeka kwa trilion 23 ndani ya muda mfupi wa utawala wa awamu ya 5!

    Unajua ukikosa kwa kukopa ndiyo akili inafanya kazi sawasawa maana utalazimika kutumia akili ya vyanzo ulivyonavyo iweze kukidhi mahitaji ya nchi,kama nchi bado vyanzo vingi vya mapato hatuja fanya vizuri sana labda tuone kwenye awamu hii ya 5 kama tutaweza kukusanya vyakutosha tutapunguza deni...
Back
Top Bottom